JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Nawapongeza Mpanju, DPP Biswalo

Miongoni mwa habari zilizopewa umuhimu katika toleo hili inahusu kuachiwa huru kwa mahabusu 201 waliokuwa katika magereza ya wilaya za Musoma, Tarime na Serengeti mkoani Mara. Kuachiwa kwao ni matokeo ya ziara ya ukaguzi ndani ya magereza hayo uliofanywa na…

Buriani Dk. Mengi

Kifo kimeumbwa, kifo ni faradhi. Kifo ni ufunguo wa kufunga uhai wa binadamu duniani na kufungua maisha ya milele ya binadamu huko ahera (mbinguni). Faradhi na ufunguo umemshukia ndugu yetu mpendwa, Dk. Reginald Abraham Mengi.  Reginald Mengi amefariki dunia. Ni…

Yah: Malipo ni hapa hapa duniani

Salamu ndugu zangu wote mliopata baraka ya kuishuhudia Pasaka. Sina hakika, lakini ni kweli kwamba wengi walipenda kufurahia ufufuko wake Yesu Kristo mwaka huu lakini haikuwa hivyo. Wapo ambao waliweka malengo ya miezi sita na mwaka, lakini mipango yao haikuwa…

Ndugu Rais tupandishe madaraja

Ndugu Rais, Mei ‘Dei’ ya Mbeya imepita. Wanaotaka kujifunza wataisoma. Lo! Maandamano yalikuwa marefu! Lo, mabango yalikuwa mengi yale, lakini yote yalibeba ujumbe mmoja unaofanana. Ulisomeka: “Tanzania ya uchumi wa kati inawezekana. Wakati wa mishahara na masilahi bora kwa wafanyakazi…

Wasaidizi, mnamsaidia?

Nianze kwa kuwatakia heri ya Pasaka pamoja na Sikukuu ya Wafanyakazi. Wiki mbili zilizopita ambazo zimekuwa na siku za mapumziko nyingi, zimenipa nafasi ya kutafakari kuhusu namna Rais Dk. John Magufuli anavyofanya kazi zake. Wiki moja kabla ya Pasaka rais…

Rais Magufuli ‘amewaponya’ Ruvuma, Mbeya wanafuata

Ziara ya Rais Dk. John Pombe Magufuli mkoani Ruvuma imebadili mawazo ya wananchi baada ya kero zao kujibiwa lakini ikaacha majonzi kwa wananchi wilayani Songea Mjini kutokana na mkutano wa Rais kutekwa na mawaziri na kukatishwa na mvua kubwa iliyomkaribisha…