Category: Makala
NINA NDOTO (17)
Msamaha si kwa ajili yako bali kwa wengine Unapokosewa kuwa tayari kutoa msamaha kwa anayekukosea, unapokosa omba msamaha pia. Kusamehe ni jambo lililowashinda watu wengi, ukijenga tabia ya kusamehe wanaokukosea utakuwa umejiondoa katika kundi la wengi. Usiposamehe siku zote…
Sheria ni kama silaha, itumike kwa uangalifu
Katika sifa nyingi zinazohitajika kuwa polisi, sifa moja ambayo haitajwi ni imani ya polisi kuwa kila binadamu ana uwezo wa kuvunja sheria na iwapo bado hajavunja sheria kuna siku atafanya hivyo. Ni sifa inayofanya polisi kuamini kuwa kila raia anayekutana…
Utaratibu wa kuajiri watoto wadogo
Mtu aliye chini ya umri wa miaka 18 ni mtoto. Kisheria si kosa kumwajiri mtoto. Nataka tuelewane vizuri katika hili. Tunatakiwa kuifahamu sheria. Wengi wanadhani ni kosa kumwajiri mtoto. Wanaposikia kampeni za ajira kwa watoto wanadhani ni kosa na haramu…
Mwalimu Nyerere angekuwepo angesemaje?
Namshukuru Mungu nimeweza kuketi kuandika kumkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kipindi hiki cha kumbukizi ya kuzaliwa kwake na kujiuliza swali ambalo bila shaka Watanzania wengine nao wamekuwa wakijiuliza: Mwalimu angekuwapo akaona utendaji wa Rais John Pombe…
Kutokujiandaa ni kujiandaa kushindwa
Kujiandaa ni kujiandaa kushinda na kutokujiandaa ni kujiandaa kushindwa. Rais wa 16 wa Marekani, Abraham Lincoln (1809 – 1865) anasema: “Ukinipa saa sita ili niukate mti, nitatumia saa nne za awali kuliona shoka langu.” Hii ni busara inayoonyesha umuhimu wa…
Unaitambua nguvu ya moja?
Moja ni mtihani. Kuna nguvu ya moja. Anayefunga goli ni mtu mmoja lakini timu nzima inafurahi. Lakini kwa upande mwingine kosa la mtu mmoja linachafua picha ya kundi zima, samaki mmoja akioza wote wameoza. Kuna nguvu ya moja. Kuna uwezekano…


