JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Ni demokrasia Arumeru Mashariki?

Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanashangilia ushindi wa Jimbo la Arumeru Mashariki wa mgombea wao kupita bila kupingwa ni muhimu kwa watu makini wa taifa hili kufanya tafakuri ya nguvu juu ya matukio haya ndani ya taifa letu. Na swali…

Ndugu Rais, sasa ‘ruksa’ mtumishi akapumzike

Ndugu Rais, naandika kutoa ushuhuda ili wote wanaopitia katika majaribu magumu watambue kuwa wanaomtegemea Mungu hawatafadhaika kamwe. Alhamisi iliyopita Aprili 25, 2019 nilikuwa Ifakara High School kushiriki katika mahafali ya wahitimu wa kidato cha sita, binti yangu alikuwa miongoni mwao….

Angekuwepo Mwalimu Nyerere…

Kama angekuwa hai, tarehe 13, Aprili 2019 Mwalimu Nyerere angetimiza umri wa miaka 97. Muda mfupi kabla ya hapo, nilifikiwa na ugeni wa mtu aliyejitambulisha kwanza kama ni jamaa yangu kwenye ukoo wetu lakini ambaye sijapata kuonana naye. Hilo si…

Mtuhumiwa kuachiwa huru kwa ushahidi wa utambuzi

Katika Rufaa ya Jinai Namba 273 ya 2017, kati ya GODFREY GABINUS @ NDIMBA  na YUSTO ELIAS NGEMA •••..•.•.•••••.••••.•••.••••.•••• APPELLANTS Na EXAVERY ANTHONY @ MGAMBO dhidi ya JAMHURI (haijaripotiwa), hukumu ya Februari 13,  mwaka huu (2019) majaji watatu wa Mahakama ya…

MAISHA NI MTIHANI (27)

Hofu ya kushindwa isizidi furaha ya kushinda   Hofu ni mtihani. Hofu ya mwanamke ni hofu ya kutumiwa na baadaye kuachwa. Hofu ya mwanamume ni hofu ya kushindwa kwenye maisha. “Palipo na hofu hakuna furaha.” (Seneca). Anayeogopa kitu anakipa nguvu…

Uhuru una kanuni na taratibu zake (2)

Baada ya kutambua maana na aina ya uhuru katika sehemu ya kwanza ya makala hii, leo nakamilisha kwa kuangalia kanuni na taratibu za uhuru. Uhuru una thamani unapotekelezwa kwa kuzingatia kanuni zilizopo na kusimamiwa na taratibu zilizokubaliwa na watu walio…