Category: Makala
NUKUU ZA WIKI
Mwalimu Nyerere: Wanadamu huongozwa na sheria
“Nchi zote duniani huongozwa na wanadamu na si malaika. Wanadamu hawa huongozwa na sheria na si kwa akili zao wenyewe.”
Haya ni maneno ya Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius K. nyerere.
Misitu ya Asili na Maendeleo ya Jamii Tanzania (1)
Kwanza napenda kuchukua fursa hii kumshukuru sana Mwenyezi Mungu, muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo tukiwamo sisi wanadamu, kwa mema mengi mno anayonitendea na hasa kwa kutujalia uhai hadi leo hii.
Wachina hufanya chochote wanachotaka
Juni 1964 Tanzania ilitembelewa kwa mara ya kwanza na kiongozi wa ngazi ya juu kutoka China. Alikuwa Wazari Mkuu Chou en-Lai.
Ndoto ya pensheni kwa wazee wote kutimia (1)
Siku za karibuni tumesikia misamiati mbalimbali juu ya kuwasaidia wazee wote wa Tanzania. Upo msamiati wa wazee kupatiwa PENSHENI huko tuelekeako. Wengine wanasema wazee watapata Cash Grant. Msamiati mwingine unasema wazee wanaandaliwa mpango unaojulikana kama Universal Pension Scheme. Kitaifa ipo mifumo kadhaa ya kuwasaidia watu inayoitwa Mifuko ya HifadhiI ya Jamii kama vile NSSF, PPF, NHIF na LAPF.
TUFUMUE FIKRA ZA KIMASIKINI KWA WATANZANIA!
Wiki iliyopita Waziri mwenye dhamana katika wizara ya kazi, ajira na maendeleo ya vijana aliwasilisha bajeti ya wizara yake.
NUKUU ZA WIKI
Nyerere: Tunamtaka rais anayechukia rushwa
“Rushwa ni adui wa haki. Tunamtaka rais atakayelitambua hilo, atakayeichukia rushwa hata ukimwangalia aoneshe kweli anaichukia rushwa, sio rais anayesema kweli rushwa ni adui wa haki… lakini ukimwangalia usoni unashangaa na kusema… aaaah kweli huyu?”
Maneno haya ni ya Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
- Tanzania yaongeza kasi kuwania tena kiti Baraza la ITU
- Mfumo wa stakabadhi ghala waimarisha bei za mazao mkoani Ruvuma
- TANAPA yaimarisha uhifadhi, idadi ya faru yaongezeka hadi 170
- DC Nkurlu aagiza TANESCO, DAWASA kufikisha huduma Misugusugu ifikapo Desemba
- Waziri Homera ashiriki mapokezi ya Rais Samia Antalya, Uturuki
Habari mpya
- Tanzania yaongeza kasi kuwania tena kiti Baraza la ITU
- Mfumo wa stakabadhi ghala waimarisha bei za mazao mkoani Ruvuma
- TANAPA yaimarisha uhifadhi, idadi ya faru yaongezeka hadi 170
- DC Nkurlu aagiza TANESCO, DAWASA kufikisha huduma Misugusugu ifikapo Desemba
- Waziri Homera ashiriki mapokezi ya Rais Samia Antalya, Uturuki
- CRDB yatoa mikopo ya trilioni 4.3/- kuchochea uwekezaji sekta ya kilimo
- Watano watajwa uenyekiti UVCCM
- RC Chalamila aongoza kikao cha maandalizi ya AFCON
- Matumizi ya teknolojia yamerahisisha utendajikazi TANAPA, majangili 385 wadakwa
- Viwango House Mwanza yafikia asilimia 95.2 ya ujenzi
- NMB yawakutanisha wadau wa korosho Mtwara, CBT yaahidi malighafi kwa viwanda
- Serikali yaipongeza TIA kwa kongamano la biashara
- Rais Mwinyi : Amani na utulivu ni msingi wa maendeleo
- UWANJA WA ARUSHA; Malumbano si mwarobaini
- Ali Kiba: Maisha ya ndoa ni siri yangu