Chama cha Mapinduzi (CCM) kiliasisiwa mwaka 1977 ikiwa ni munganiko wa falsafa na misingi ya ASP na TANU. Msingi mkuu wa CCM ni ujamaa nakujitegemea nakama ulivyo wekewa msisitizo katika AZIMIO LA ARUSHA 1967. Na utu,udugu na usawa

Dhumuni na malengo ya CCM
Kama ilivyo kwa chama chochote cha siasas lengo kuu ni kushika dol ana kuunda serikali hivyo CCM kikiwa chama cha siasa lengo lake kuu nikuunda dol ana kuongoza serikali. Na hili limewezekana kwa CCM kueendelea kuaminiwa nawa TANZANIA kutokana na umathubuti wake wa kuishi misingi na malengo yake hasa utekelezaji wa ilani na sera ambazo zimekuwa na manufaa kwa wananchi.

Vyama vingi Tanzania
Historia ina bainisha mnamo 1992 tume iliundwa ikiongozwa na jaji FRANCIS NYARALI ilikuwa na jukumu la kukusanya maoni juu ya mfumo wa chama kimoja au kuwa na vyama vingi. Matokeo yake ilibainika wana nchi 79% walihitaji chama kimoja kiendelee na wananchi 21% waliitaji kuwe na mfumo wa vyama vingi. Hivyo sheria ya vyama vya siasa ili tungwa 1992 Na 1995 ndipo TANZANIA ilianza uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi na mpaka sasa mfumo huo una eendelea.

FAIDA YA KUWA NA MFUMO WA VYAMA VINGI
1 Kuongeza wigo wa demokrasia katika siasa

  1. kuongeza na kuchagiza changamoto za kimaendeleo
    3.kutoa changamoto kwa chama kinacho kuwa madarakani kwa kukosoa na kuibua mbadala wa namana ya kutatua changamoto hizo. HIVI NDIVYO CCM INAVYO KABILIANA NA CHANGAMOTO YA VYAMA VINGI

1.falsafa ya kujitegemea kama Taifa ifahamike kuwa 1967 kupitia azimio la Arusha CCM iliweka msingi wa kujitegemea, hata bajeti ya serikali kwa sasa zaidi ya 71% ina tokana na mapato ya ndani yanayo kusanywa na TRA na yale ya halimashauri za wilaya, miji na majiji. Hii ina ifanya CCM kuwa chama kinacho aminika zaidi kuliko vyama vingine vya siasa.

  1. Uwezeshwaji wananchi kiuchumi na kijamii. Kwa mujibu wa maelekezo ya ilani ya uchaguzi ya CCM zimekuwa zikielekeza seriksli kuwa wezesha wanchi kiuchumi .mfano kwa sasa wananchi wengi wana nufaika na mikopo inayo tolewa na serikali isiyo na rib na ile inayo tolewa na halimashauri kwa vijana ,kinamama na watu wenye mahitaji malumu. Hii imeifanya CCM Kuwa chama bora zaidi kwa wana nchi kuliko vyama vingine.

  2. 3.Amani na utulivu wa nchi. Taifa letu limekuwa kisiwa cha amani tangu uhuru hii ni matunda ya usimamizi mzuri unao fanywa na viongozi wa CCM kuhakikisha tunu hii ina lindwa hii inawezesha wananchi kufanya shughuri za kiuchumi na zakijamii bila bughuza yeyote. Hii ina
    iwezesha CCM kuendelea kuaminika zaidi na wananchi kuliko vyama vingine vya Siasa.

4 Miundombinu ya usafiri na taasisi za kijamii.Taifa letu limeunganishwa na mtandao wa rami mikoa yote bara na visiwani. Hii inawezesha shughuri za usafirishaji kuwa rahisi na biashara
kushamiri, na hii ni turufu muhimu kwa CCM kuaminika kwa wananchi kuwa inadhihirisha kuwa CCM ina iishi misingi ya kulijenga Taifa na kuchagiza maeendeleo ya kiuchumi.

5.Huduma za kijamii na elimu mfano bima ya Afya kwa wote na elimu bila malipo hii ni sera na maelekezo ya CCM. Wazee kutibiwa bure,huduma bure ya mama na mtoto haya yana iwezesha CCM kuwa chama bora zaidi cha siasa kuliko vyama vingine vay siasa.


6.Mtandao wa mabalozi hadi katika ngazi za mashinani au maskani.CCM imeweza kuwa na mfumo wa uongozi kuanzia shina mpaka Taifa kitu ambacho vyama vingine vina suasua.

Kimsingi CCM ina mambo mengi mazuri yanayo ifanya iendelee kushamiri kisiasa na kuaminiwa na wananchi ikiwemo kuheshimu uhuru wa maoni na utawala bora katika Taifa letu.


Pia namna CCM ilivyo jipambanua katika kuhakikisha ina pambana na maadui wa taifa letu yaani ,Adui ujinga imejenga shule na taasisi za elimu kila kata,Adui maradhi ime jenga hospitali kila kona ya nchi yetu na kusomesha watalaam wa afya na adui umaskini ina toa mikopo isiyo na riba kwa kuwawezesha wananchi kujikwamua na umaskini pia imeboresha miundombinu ya usafirishaji ili kurahisha shughuri za usafirishaji hichi ni kichocheo kikubwa cha Uchumi.


Makala hii imeandikwa na
John Francis Haule
Mkuu wa soko la Samunge
Jiji la Arusha
0756717987