Leo Oktoba 7, 2023 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezuru na kufanya Sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisali kwenye Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 7, 2023 Chato mkoani Geita
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisali kwenye Kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 7, 2023 Chato mkoani Geita
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza na wanafamilia nyumbani kwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 7, 2023
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisaini kitabu cha kumbukumbu ya wageni mara baada ya kusali kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 7, 2023

By Jamhuri