Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 22, 2023
Habari Mpya
Jinsi Rais Samia alivyompokea Rais wa Jamhuri ya Indonesia
Jamhuri
Comments Off
on Jinsi Rais Samia alivyompokea Rais wa Jamhuri ya Indonesia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati alipowasili katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuanza ziara ya Kikazi hapa nchini tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Joko Widodo wakati wakielekea kwenye Viwanja vya mapokezi ya Viongozi Ikulu Jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya kikazi ya Rais huyo hapa nchini tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania na Indonesia ukipigwa katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam kwenye mapokezi rasmi kwenye Ziara ya Kikazi ya Rais huyo hapa nchini tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo akikagua Gwaride la Heshima mara baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam kwa Mapokezi rasmi wakati wa Ziara yake ya Kikazi hapa nchini tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati alipokuwa akitia saini kitabu cha Wageni alipowasili Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo Ikulu Jijini Dar es salaam wakati wa Ziara yake ya Kikazi hapa nchini tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Please follow and like us:
Post Views:
211
Previous Post
TANESCO yaeleza sababu ya kukosekana kwa umeme kwa baadhi ya mikoa
Next Post
Mchengerwa azindua bodi za TTB na TANAPA
Rais Samia anaamini katika ushirikiano na viongozi wa dini -Dk Biteko
Watumia sherehe za ubatizo kukeketa watoto, Serikali yaonya
Ndumbaro azungumzia umuhimu wa Tamasha Utamaduni mkoani Ruvuma
Bashe aridhishwa na kazi nzuri iliyofanywa na ASA
Dk Kijaji: Tanzania yazuia tani 216 za kemikali hatari kwa tabaka la ozoni
Habari mpya
Rais Samia anaamini katika ushirikiano na viongozi wa dini -Dk Biteko
Watumia sherehe za ubatizo kukeketa watoto, Serikali yaonya
Ndumbaro azungumzia umuhimu wa Tamasha Utamaduni mkoani Ruvuma
Bashe aridhishwa na kazi nzuri iliyofanywa na ASA
Dk Kijaji: Tanzania yazuia tani 216 za kemikali hatari kwa tabaka la ozoni
Soma Gazeti la Jamhuri Septemba 17 -23, 2024
Mashindano ya kuogelea kitaifa yafana Dar
Mabweni ya kuchukua wanafunzi 12,000 kujengwa kwa ubia Dar
Trump anusurika jaribio jingine la mauaji
Serikali kutumia bilioni 830 kukabiliana na athari za el nino
Padri Kitima : Ninyi nyote ni ndugu, mkaishi kwa upendo
Serikali kujenga upya daraja la Mbwemkuru , Nakiu Lindi
JWTZ waibuka mshindi wa jumla mashindano ya BAMMATA
Waziri Bashe: Rais Samia hana deni kwa Watanzania katika sekta ya kilimo
Tuvumiliane na kuheshimiana kama Watanzania -Dk Biteko