Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila amesema kuwa idadi ya watu waliofariki kutokana na ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea asubuhi leo katika ziwa Victoria wakati ikitua imeongezeka na kufikia vifo vya watu 19.

Amewataja walioopolewa wakiwa wamekufa na kuthibtishwa na Mganga Mkuu wa Mkoa Issessanda Kaniki, ambao ni Atulinde Biteya,Aneth Biteya, Neema Faraja, Hanifa Hamza, Aneth Kaaya, Victor Laurean,Said Malat Lyangana.

Wengine ni Iman Paul, Faraji Yusuph, Lin Zhang, Sauli Epimark Zacharia Mlacha, Eunice Nrangu ,Mtani njegere, Zaituni Shillah,
Dr. Alice Simwinga,Buruani Lubaga,rubani,Peter Odhiambo na mwingine ni sister ambaye bado jina lale halijapatikana.

Wengine waliofariki ni Iman Paul,Faraji Yusuph, Lin Zhang, Sauli Epimark Zcharia Mlacha, Eunice Nrangu ,Mtani njegere,Zaituni Shillah,DK.Alice Simwinga ,Buruani Lubaga -rubani,Peter Odhiambo.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa yupo mkoani huko kwa ajili ya kuhakikisha kuwa waliopoteza maisha wanaagwa kwa heshima.

Pia waliopelekwa hospitali ya Mkoa wa Kagare kawa matibabu zaidi ni Ragi Samwel Inyoma Rausath Hassan,Anna May Mitabalo Karagwe,Felix Otieno Jaluo,Shamiru ismail bkb 34yrs,Itawa Muhaya

Protas Mussa Amos,Grace Rugambwa Muhsya,Amina Abdallah Krwandira,Revina Theonest Rutinda,Emili Victor Mwesiga

Jesca Julius Titus,Zanglin,Richard Komba,Emmanuel Amani,Nikson Jackson Kawiche,Saleh Omary,Edwin Bitegeko,Eva Dickson Mcharo,Josephine Joseph Mwakisambwa

Theodora Stanslays,Joseph Laurence,Brenda Selvuli Temba,Lydia Ibrahim Ramadhan,Atulinde Biteya,Aneth Biteya,Neema Faraja,Hanifa Hamza,Aneth Kaaya,Victor Laurean,Said Malat Lyangana