Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Spika wa Buge, Dkt. Tulia Ackson baada ya kushiriki Kikao cha Mashauriano ya Mambo Mahususi ya Kibajeti kilichofanyika kwenye jengo la utawala la Bunge jijini Dodoma, Aprili 3, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama (katikati) na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi, ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 3, 2023.

By Jamhuri