Latest Posts
Ummy:Kumekuwa na ongezeko la magonjwa ya mfumo wa njia ya hewa
Ndugu Wananchi, tukiwa katika msimu wa Sikukuu za Krismasi na Mwaka mpya, Wizara ya Afya inawatakia wananchi wote Heri ya Krisimasi na Mwaka Mpya 2023. Kama tunavyofahamu Mtu ni Afya, hivyo nitumie fursa hii pia kuwakumbusha wananchi kuchukua hatua za…
Dhamira njema ya Rais Samia itamaliza kiu ya wanahabari
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Dhamira njema inayoonyeshwa wazi Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ni wazi kuwa itafanikisha kiu ya mchakati wa mabadiliko ya sheria ya habari nchini. Hatua hiyo inatokana na wasaidizi wa Rais Samia…
‘Tufanye mazoezi ili kuisaidia nchi kuondokana na ongezeko la magonjwa’
Na Mathias Canal,JamhuriMedia,Kilimanjaro Naibu Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Pauline Gekul amewataka wakazi wa Jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro na Watanzania wote nchini kushiriki kikamilifu katika michezo ili kujenga mwili na kuepukana na magonjwa yasiyo ambukiza ambayo kwa sasa…
Kinana: Utekelezaji JNHPP ni matunda ya CCM
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana amesema ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), ni utekelezaji wa Ilani ya chama hicho. Kinana amesema hayo juzi wakati akitoa salamu za CCM kwenye hafla ya…
Mwanafunzi ajinyonga baada ya wazazi wake kumzuia kutojihusisha na mapenzi
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Lasmini Kondo mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Masaki wilayani Kisarawe mkoani Pwani,amekutwa akiwa amejinyonga baada ya kukatazwa na wazazi wake kutojihusisha na mapenzi . Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Jeshi…
Rais Samia awakumbuka watoto kituo cha Madina Pwani
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Dkt.Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi ya Sikukuu za mwisho wa mwaka ikiwa ni pamoja na vitoweo ,mchele , maharage,mafuta ya kupikia ,vinywaji na viungo vingine mbalimbali vya kupikia. Akimwakilisha rais…





