Latest Posts
Banana kama baba yake (2)
Katika kuangalia safari ya kimuziki ya Banana Zorro, wiki iliyopita tuliona jinsi alivyoamua kuachana na bendi ya kwanza na kujiunga na Inafrica Band, na moja kwa moja kujikita katika kufanya kazi kama mwanamuziki anayejitegemea, yaani solo artist. Akiwa mwanamuziki anayejitegemea,…
Soka letu linamhitaji Haji Manara
Huenda Kassim Dewji ni miongoni mwa viongozi wachache wa Simba wakiwa sehemu ya watendaji wa ‘Simba mbili’ zilizofanya maajabu kuliko Simba ya Manara. Jumamosi ya Novemba 26, 1993 wakati Desre Koume na Jean Ball ‘Boli Zozo’ wanainyima Simba ubingwa wa…
Wageni wanakuja, wanaondoka, makocha wa kwetu wapo tu
Achana na majina ya Sven van der Broeck wa Simba na Luc Eymael wa Yanga, tubaki na majina ya makocha wa hapahapa Afrika ili tuzungumze kitu kinachoeleweka. Hawa utawauliza tu nini kifanyike. Maana ukizungumzia kocha kutoka Malawi, Zambia, Kenya, Uganda,…
Simbachawene awasulubu NIDA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ‘amewatoa jasho’ viongozi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) katika mkutano uliofanyika jijini Dodoma, Ijumaa iliyopita, JAMHURI limefahamishwa. Waziri Simbachawene ametaka maelezo ya kina kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa NIDA,…
Watumishi Tamisemi wapigwa mafuruku kusafiri
Kilichowakuta watumishi wa umma waliokuwa na mtindo wa kusafiri nje ya nchi mara kwa mara sasa kimewakumba pia watumishi wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – Tamisemi. Ruhusa ya watumishi wa Tamisemi kusafiri kwa ajili…
Mvua zaharibu barabara Ilala, Kinondoni
Mvua zilizonyesha kwa wiki kadhaa zimesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Mkoa wa Dar es Salaam hasa katika wilaya za Kinondoni na Ilala. Ziara zilizofanywa na gazeti hili katika maeneo kadhaa katika Mkoa wa Dar es…





