JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

AJALI YA MAGARI MATANO MBEYA, WALIOFARIKI WAFIKA 15

Idadi ya watu waliokufa katika Ajali ya lori iliyogonga Magari mengine manne kabla ya kupinduka na kuwaka moto kwenye mteremko mkali wa Iwalanje, eneo la Igawilo jijini Mbeya imefikia 15, baada ya majeruhi wengine wawili kufariki dunia wakati wakipewa matibabu…

Wanajeshi wa Sudan Kusini wafungwa kwa ubakaji na mauaji

Mahakama ya kijeshi imewahukumu wanajeshi 10 vifungo vya kati ya miaka saba na maisha kutokana na ghasia ambapo mwandishi wa habari aliuawa na wafanyakazi wa kutoa huduma za kibinadamu kubakwa. Mahakama imeiamrisha serikali ya Sudan Kusini kumlipa kila muathiriwa wa…

Mussa Azzan Zungu Achanganyikiwa na Hoja ya Mbunge wa Chadema

Mwenyekiti wa Bunge Mussa Azzan Zungu amejichanganya wakati wa kutoa majibu ya kura ya uamuzi na kufanya wabunge wa Kambi ya Rasmi ya Upinzani kulipuka kwa furaha kwa kupiga makofi. Hilo limetokea wakati Bunge lilipokaa kama kamati ya Bunge zima…

Viwanja, mashamba ya Musukuma kupigwa mnada

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kupitia kampuni ya udalali ya LJ International Ltd imetangaza kuzipiga mnada mali za Mbunge wa Geita Mjini, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma. Mali zilizotajwa kupigwa mnada ni pamoja na kiwanja Na.275 Block kilichopo Mbezi…

Mwongozo wa adhabu kwa wanafunzi

Katibu Ofisi ya Rais, Tume ya Utumishi wa Walimu, Winifrida Rutaindurwa ametoa onyo kwa Walimu wanaowaadhibu wanafunzi bila kuzingatia Sheria Kanuni na Taratibu zinazotoa mwongozo wa aina, kiwango na namna adhabu inavyotakiwa kutolewa kwa wanafunzi. Amesema kuwa kutoa adhabu ya…