Latest Posts
Je, Mkristo akichinja ni haramu?
Chakula cha nyama, ni moja ya hitaji katika mlo. Hutumika kama kitoweo sehemu mbalimbali kuanzia kwenye milo ya nyumbani, sherehe mbalimbali hadi sehemu kunakouzwa vyakula.Hata hivyo,suala linalohusiana na uchinjaji wa wanyama kwa ajili ya chakula, limekuwa likileta matatizo na misuguano isiyo ya lazima katika jamii yetu Watanzania, na hivyo kusababisha kero kwa watu wengine.
Wabunge msiwaangushe wapigakura wenu
Bunge la Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2013/2014 linaanza leo mjini Dodoma, huku Watanzania wakitarajia kuona na kusikia wabunge wao wakipitisha bajeti inayojibu matatizo yanayowakabili.
Mvutano uchinjaji Mbeya
Hivi karibuni kumezuka vurugu baina ya Wakristo na Waislamu katika mji wa Tunduma mkoani Mbeya, wakigombea uchinjaji mifugo ingawa siku zote Waislamu ndiyo wamekuwa wakitekeleza jukumu hilo.
India yakubaliwa kuchimba dhahabu, almasi Tanzania
Serikali ya Tanzania imekubali ombi la Serikali ya India, la kutaka kuwekeza katika sekta ya nishati na madini nchini.
Udokozi bandarini ukomeshwe
Bandari ya Dar es Salaam ni mashuhuri katika nchi za Afrika Mashariki na Kati. Bandari hii, kwa muda mrefu, imekuwa kitovu cha biashara kati ya Tanzania na nchi za Afrika Mashariki na Kati zisizokuwa na bandari (land locked).
Kuchinja si tatizo, tatizo ni udini
Wiki hii nimelazimika kuandika tena mada hii. Nimeiandika mada hii baada ya kuona moto unazidi kusambaa nchi nzima. Tatizo lilianzia Kanda ya Ziwa kwenye mikoa ya Mwanza na Geita, likaenda Shinyanga, lakini sasa limehamia Tunduma.
- Dkt. Yonazi atembelea ubalozi wa Tanzania nchini Uturuki
- TANESCO yashika nafasi ya pili kwa usimamizi bora wa fedha kwa taasisi za umma za biashara
- Same watakiwa kutumia mvua za El Nino kupanda miti
- EWURA yatoa elimu kwa watendaji, viongozi Serikali ya Mtaa Tabora
- NMB na Dawa Mkononi waungana kuboresha sekta ya dawa
Habari mpya
- Dkt. Yonazi atembelea ubalozi wa Tanzania nchini Uturuki
- TANESCO yashika nafasi ya pili kwa usimamizi bora wa fedha kwa taasisi za umma za biashara
- Same watakiwa kutumia mvua za El Nino kupanda miti
- EWURA yatoa elimu kwa watendaji, viongozi Serikali ya Mtaa Tabora
- NMB na Dawa Mkononi waungana kuboresha sekta ya dawa
- Mchengerwa aipa Bodi mpya ya Muhimbili Majukumu
- Utekelezaji wa Dira 2050 unahitaji maamuzi magumu
- Madereva wasitisha mgomo, Waziri Mkuu ateta na viongozi
- Tanzanite itangazwe zaidi kimataifa
- Mwakilishi Jimbo la Wingwi akabidhi milioni 8.5/- kusaidia usambazaji maji kijiji cha Sizini
- Serikali yaimarisha huduma za afya Chala, Sumbawanga, Jacqueline akabidhi vifaa vya milioni 312/-
- Umoja Afya ya NHIF yawavutia wananchi
- Utekelezaji usio sawa wa kanuni za usafiri mtandao wazua wasiwasi wa usalama na ushindani
- Kafulila : Ubia kati ya Serikali na sekta binafsi ni muhimu katika kusaidia mashirika ya umma
- Londo : Tanzania itaendelea kuweka mazingira bora ya uwekezaji kukuza biashara na Oman