Latest Posts
Okwi awanyong’onyesha Simba
Pengo lililoachwa na mshambuliaji mahiri wa kikosi cha Simba, Emmanuel Okwi, limewanyong’onyesha mashabiki kiasi cha kupungukia matumaini ya kuona timu hiyo ikifanikiwa kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom Tanzania Bara, msimu huu.
Yah: Kama nikichaguliwa kuwa rais nitafanya yafuatayo
Wanangu, ningependa mpokee mawazo yangu muone, je, kuna tija yoyote ya kuwa mbele katika mambo ambayo mimi niko nyuma kama wazee wengine wa zamani; na kwamba uzembe huo wa kutokwenda na wakati ninyi mwendao na wakati mmefanikiwa kwa kiwango gani!
Huhitaji mtaji kuanzisha biashara!
Miaka ya karibuni, dhana ya ujasiriamali imeenea kwa kasi kubwa miongoni mwa wanajamii. Kwa sasa kila kona tunasikia ujasiriamali – kanisani, mitaani, vyuoni na katika mikutano ya kisiasa kunahubiriwa ujasiriamali. Hata hivyo, kuna kibwagizo kinachojirudia kila zinapotajwa changamoto za ujasiriamali – ukosefu wa mitaji!
MAONI YA KATIBA MPYA
Dk. Kamani: Mahakama isiwe juu ya sheria nchini
Mbunge wa Busega mkoani Simiyu Dk. Titus Kamani (CCM), amependekeza pamoja na mambo mengine, Katiba mpya idhibiti uhuru wa Mahakama na kuruhusu uundaji chombo maalumu cha kuwabana wahujumu uchumi.
FASIHI FASAHA
Tunakubali rushwa ni adui wa haki? (2)
Juma lililopita, nilielezea madhumuni ya Serikali kuunda Tume ya Kero ya Rushwa, na nilionesha matatizo makuu mawili yaliyoikabili katika harakati za kubaini kero ya rushwa nchini.
FIKRA YA HEKIMA
Miradi ya kiuchumi inaua lengo la dini?
Imani za kishirikina zimeendelea kushika kasi nchini, kiasi cha watu wengi kuamini kuwa dini zimeweka kando majukumu ya kiroho na kujikita katika miradi ya kiuchumi.
- ORCI yawafikia wananchi 621 Arusha, 16 wapewa rufaa ya uchunguzi zaidi wa saratani
- RC Makalla akutana na Katibu Mkuu wa Bunge la Dunia Balozi Anda
- Kamati ya pamoja ya ufundi, Tanzania na Uganda yakutana Tanga kujadili miradi ya kimkakati
- GCLA yawaibukia wachimbaji madini Geita
- Chatanda: Wanawake hawamwangushi Rais, ndiyo maana wanaendelea kuteuliwa
Habari mpya
- ORCI yawafikia wananchi 621 Arusha, 16 wapewa rufaa ya uchunguzi zaidi wa saratani
- RC Makalla akutana na Katibu Mkuu wa Bunge la Dunia Balozi Anda
- Kamati ya pamoja ya ufundi, Tanzania na Uganda yakutana Tanga kujadili miradi ya kimkakati
- GCLA yawaibukia wachimbaji madini Geita
- Chatanda: Wanawake hawamwangushi Rais, ndiyo maana wanaendelea kuteuliwa
- Tanzania na Uturuki kuimarisha ushirikiano katika usimamizi wa maafa
- Tanzania, Oman zaimarisha ushirikiano katika sekta ya habari
- TBS Yatoa wito kwa wadau wa madini kuzingatia viwango
- Tanzania na Uturuki kuimarisha ushirikiano katika usimamizi wa maafa
- Naibu Waziri Kiruswa ataka Waja General LTD kutoa huduma kwa wachimbaji
- ESEH na teknolojia mpya ya milipuko ilivyobadili sekta ya uchimbaji
- Rubani ‘shujaa’ azuia ajali baada ya kuchomwa kisu angani
- Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe Wicknell Chivayo afariki katika ajali ya helikopta
- Dkt. Yonazi atembelea ubalozi wa Tanzania nchini Uturuki
- TANESCO yashika nafasi ya pili kwa usimamizi bora wa fedha kwa taasisi za umma za biashara