Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Rwanda hapa nchini Mheshimiwa Fatou Hererimana mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Rwanda hapa nchini Mheshimiwa Fatou Hererimana Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ujerumani hapa nchini Mheshimiwa Thomas Terstegen, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Umoja wa Ulaya hapa nchini Mheshimiwa Christine Grau Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Norway hapa nchini Mheshimiwa Tone Tines mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Qatar hapa nchini Mhe. Fahad Rashid Saqr Al Muraikhi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Qatar hapa nchini Mheshimiwa Fahad Rashid Saqr Al-Muraikhi, mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Saudi Arabia hapa nchini Mheshimiwa Yahya Ahmed Okeish, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Septemba, 2023.

By Jamhuri