Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Dini Ikulu ndogo Mkoani Mwanza. Viongozi hao pia wamemwombea dua ya kheri katika kuliongoza Taifa la Tanzania muda mchache kabla ya kwenda kuhudhuria Tamasha la Utamaduni Bulabo tarehe 13 Juni 2023.

By Jamhuri