Kasoro uhawilishaji mashamba Kusini

SONGEA NA MUNIR SHEMWETA   Uwekezaji ni jambo muhimu hasa katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya Tano ambayo msisitizo wake mkubwa ni Serikali ya Viwanda na kuelekea katika uchumi wa kati.   Hali hiyo inatokana na uwekezaji kuwa kitu kinachoweza kusaidia upatikanaji huduma muhimu sambamba na kutoa fursa ya ajira kwa wananchi na…

Read More

Maji yaunganisha Serikali, upinzani

*Serikali yafungua mlango uwekezaji  katika viwanda *Mbowe ataka elimu, gesi itumike kuzalisha umeme *Zitto apendekeza kodi ya maji Sh 160 kama umeme REA *Wabunge wapendekeza tozo ya maji miamala ya simu Na Waadishi Wetu, Dodoma   Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii, Serikali na vyama vya upinzani wameungana kifikira kutafuta mwarobaini wa kuondoa…

Read More

Sudan Kusini kuwekewa vikwazo

JUBA Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limezipa muda wa mwezi mmoja pande hasimu zinazogombana nchini Sudan Kusini kufikia makubaliano vinginevyo nchi hiyo ijiandae kukabiliana na vikwazo. Mchakato huo uliongozwa na Marekani ndani ya Umoja huo ulipata ushindi mdogo wa kura 9 katika baraza hilo lenye nchi wanachama 15 na huku kukionekana na kuwepo…

Read More
Balile

Bomu la watu laja Afrika – mwisho

Na Deodatus Balile Mwezi uliopita nimefanya mapitio ya kitabu kiitwacho “Making Africa Work”. Tafsiri isiyo rasmi ya jina la kitabu hiki ni “Mbinu za Afrika kujikwamua kiuchumi.” Kimeandikwa na Greg Mills, Olusegun Obasanjo (Rais mstaafu wa Nigeria), Jeffrey Herbst na Dickie Davis. Kimechapishwa na Taasisi ya Brenthurst Foundation ya Johannesburg, Afrika Kusini. Rais (mstaafu) Benjamin…

Read More