Category: Makala
Uchafu waharibu mandhari ya mji wa Songea
Wananchi Manispaa ya Songea wameelezea wasiwasi wao kuhusu kukumbwa na milipuko wa magonjwa mbalimbali, kutokana na kukidhiri kwa uchafu katika maeneo mbalimbali yakiwamo soko kuu la mji buo.
Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti, wamesema miundombinu ya maji taka Soko Kuu la Songea ni mibovu. Mitaro ya mji huo imefurika na kutiririsha maji hovyo yanayosambaa kwenye maeneo ya wauza nyanya, vitunguu, samaki na dagaa.
Hivi kati ya Spika Sitta na Kubenea nani ‘Court Jester’?
Akiwa ameketi kwenye kiti chake cha enzi Jumanne iliyopita, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba (BMK), Samuel John Sitta, alimshambulia Mkurugenzi Mtendaji wa HaliHalisi Publishers, Saed Kubenea, kwa kitendo chake cha kufungua shauri mahakamani kupinga Bunge hilo.
Malengo ya Kazi (1)
Hotuba ya Rais Mwalimu Julius Nyerere kwenye Sherehe ya Kufungua Kiwanda cha Nguo Ubungo Dar es Salaam Julai 6, 1968
Tumekubali kuwa punda wa Wakenya
Kulalamika kunalowesha uchumi wetu
Naandika makala hii nikiwa nahudhuria kongamano la uwekezaji kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Wiki zijazo nitawashirikisha fursa za kibiashara na kiuwekezaji zilizopo Nyanda za Juu Kusini (mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya).
Wajasiriamali na uchumi wa Afrika Mashariki
Leo ninapenda tuperuzi nafasi ya uelewa wetu sisi wajasiriamali na Watanzania kwa jumla, linapokuja suala la uchumi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki. Unapotaja Afrika Mashariki ni kwamba kuna mambo ya msingi yanayoushikilia uhusiano huu.
Pamoja na mambo mengine, nguzo kuu ya uwepo wa Jumuiya hii ni suala la uchumi. Ndiyo maana tunaongelea soko la pamoja, kuunganisha sarafu zetu, kusafiri kwa mitaji na rasilimali watu.
- CRDB Yaingia mkataba wa miaka mitatu na Bongo Star Search kuibua vipaji vya vijana
- Miaka 40 ya NEMC, JET yapewa tuzo ya heshima
- Serikali yakaza udhibiti wa mbegu feki kulinda wakulima
- Hakuna nyongeza muda kwa mkandarasi wa ujenzi barabara Kahama kupitia mradi wa TACTIC – Prof. Shemdoe
- Rais Samia ahitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi, Kurasini Jijini Dar
Habari mpya
- CRDB Yaingia mkataba wa miaka mitatu na Bongo Star Search kuibua vipaji vya vijana
- Miaka 40 ya NEMC, JET yapewa tuzo ya heshima
- Serikali yakaza udhibiti wa mbegu feki kulinda wakulima
- Hakuna nyongeza muda kwa mkandarasi wa ujenzi barabara Kahama kupitia mradi wa TACTIC – Prof. Shemdoe
- Rais Samia ahitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi, Kurasini Jijini Dar
- Vijana 60,000 kupata mafunzo ya uzalendo ya JKT mwaka huu
- TMA, EMEDO waja na tuzo za kuhamasisha elimu ya hali ya hewa
- Mtwara yatanua fursa za madini, mapato ya Serikali yapanda mara nne
- Shekhe Dodoma aonya kutokutii viongozi ni hatari kwa amani ya taifa
- Mufti wa Tanzania ahimiza umoja,amani na utunzaji wa mazingira wakati wa Eid Al Adha
- Tanzania kujiimarisha kuwa kitovu cha utafiti katika kukabiliana na majanga
- Usalama wa nishati ni nguzo muhimu ya usalama wa taifa – Mramba
- Bingwa wa masumbwi Crawford kutoka Marekani atinga Hifadhi ya Taifa Tarangire
- Mwenyekiti JAB awataka waandishi wa habari kutafakati upya wajibu wao
- Waziri Mkuu ateta na Rais wa Benki ya AfDB
Copyright 2025