JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Year: 2022

Henderson awasikitikia Salah, Sadio Mane kutokushiriki kombe la Dunia

Nahodha wa Liverpool na mchezaji wa timu ya taifa ya Uingereza, Jordan Henderson, ameeleza masikitiko yake kwa Sadio Mane na Mohamed Salah baada ya wachezaji hao kushindwa kushiriki Michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea huko nchini Qatar.  Mohamed Salah ameshindwa…

Vigogo wa ligi kuu wapangiwa wapinzani kombe la shirikisho la Azam

Droo ya hatua ya pili ya Michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam imefanyika hii leo ambapo vigogo wa ligi kuu Tanzania Bara wameingizwa katika ratiba hiyo baada ya kutohushishwa katika hatua ya kwanza.   Simba SC watakutana uso kwa uso…

Hakimu adaiwa kujiua gesti

Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa linafanya uchunguzi kufuatia Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kasanga Michael Royan(31), kudaiwa kujiua kwa kunywa sumu katika nyumba ya kulala wageni.katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani humo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Theopista Mallya…

Bocco aivuruga Simba

Nahodha John Raphael Bocco anatajwa kuwavuruga viongozi na mashabiki wa Simba kufuatia kufunga magoli manne katika mechi tatu za Simba za hivi karibuni ambapo alifunga magoli 3 dhidi ya Ruvu Shooting na goli 1 dhidi ya Polisi Tanzania kule Moshi. …