Year: 2024
Mtendaji Mkuu wa Mahakama aeleza mafanikio ya muungano
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mtendaji Mkuu wa Mahakama Tanzania ,Prof.Elisante Ole Gabriel ameeleza kuwa kwa kipindi cha miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ongezeko la Majaji wa Rufani limeongezeka kutoka Majaji 16 hadi kufikia 35 ikiwa ni zaidi asilimia…
Aweso azisisitiza Mamlaka za Maji utekelezaji agizo la Rais Samia kuhusu mita za malipo ya kabla
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amezisisitiza Mamlaka za Maji nchini kuhakikisha zinatekeleza agizo la Rais Dkt Samia Suluhu Hassan la kufunga mita za malipo ya kabla kwa wateja kwa lengo la kuboresha utoaji…
Baraza la Biashara Dar lajidili uendelevu wa biashara za wazawa, mazingira
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar e Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo April 05,2024 ameongoza Baraza la Biashara Mkoa wa Dar es Salaam katika Jljijini Dar es Salaam. Akiongea na waandishi wa Hlhabari RC Chalamila…
Wizara ya Ujenzi yaeleza mafanikio ya miaka mitatu ya Rais Samia
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma WIZARA ya Ujenzi imeandaa hafla ya kuelezea mafanikio ya Serikali ya awamu ya Sita kwa kipindi cha miaka mitatu katika sekta ya Ujenzi huku ikijinasibu kukamilisha miradi ya ujenzi kwa kiwango cha lami wenye jumla ya kilometa…
Kamati ya Siasa Bagamoyo yaridhishwa na ujenzi wa miradi Chalinze
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo KAMATI ya Siasa ya CCM wilayani Bagamoyo, Mkoani Pwani, imeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa mradi wa soko kuu Bwilingu lililopo Chalinze ambalo limefikia hatua ya umaliziaji na kugharimu kiasi cha sh.bil 1.4 mara litakapokamilika…
Ndumbaro kukabidhi eneo la mradi wa uwanja Arusha
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewasili katika eneo la Olmoti kwa ajili ya Hafla ya kumkabidhi mkandarasi eneo la ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu Jijini Arusha leo Aprili 6, 2024. Ndumbaro ameambatana na…