Category: Habari Mpya
Mtatiro alia na ghughuli za kibinadamu
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tunduru Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma Julius Mtatiro amesema,ni muhimu suala la upandaji miti katika wilaya hiyo liwe endelevu na jambo la mara kwa mara ili kusaidia uhifadhi wa mazingira. Mtatiro amesema hayo,baada ya kuongoza zoezi…
‘Iringa sio soko la wafanyakazi wa ndani’
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Iringa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Iringa vijijini (UVCCM), Elia kidavile amewataka wanafunzi wanaohitimu darasa na saba kukataa kwenda kufanyakazi za ndani pindi wanapohitimu elimu ya msingi. Akizungumza kwenye mahafali ya…
TANESCO: Ukame waathiri mabwawa 4 ya umeme
Na Stella Aron,JamhuriMedia Kutokana na ukame unaoikumba nchi, mabwawa ya kuzalisha umeme ya Hale, Kihansi, Nyumba ya Mungu na Pangani yenye uwezo wa kuzalisha megawati 266 za umeme yamepungua uwezo wake na kwa sasa yanazalisha megawati 34 za umeme tu…
NHC kuanza kuwasaka wapangaji waliokimbia na madeni
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), limetangaza kuanza kampeni kabambe ya kukusanya madeni kwa wapangaji wa nyumba zake waliopo na waliohama ili kuhakikisha wanakusanya madeni hayo yanayofikia kiasi cha shilingi bilioni 26. Akizungumza na waandishi wa habari…
Tanzania yafanya vizuri utoaji hati za kimila
Imeelezwa kuwa Tanzania ni mojawapo ya nchi mbili kati ya 12 za Afrika zilizofanya vizuri zaidi katika utoaji wa hati za kimila za matumizi bora ya ardhi. Hayo yamebainishwa na Mratibu wa Mradi wa kitaifa Bw. Joseph Kihaule wakati wa…





