Category: Habari Mpya
Kila mwananchi awe askari wa taifa letu
DODOMA Na Javius Byarushengo Ule usemi usemao ya kale ni dhahabu si wa kupuuza hata kidogo. Ulikuwa na maana, unaendelea kuwa na maana na utaendelea kuwa na maana. Katika miaka ya nyuma, hususan katika Awamu ya Kwanza ya uongozi wa…
Kinywa cha Haji kinahitaji timu bora kiwanjani
NA MWANDISHI WETU Nchi ‘ilisimama’ kwa muda. Mitandao ya kijamii ilikuwa busy. Kila sehemu ni Haji Manara. Haji Manara. Haji Manara. Haji Manara. YES! Manara amehamia Yanga na wiki iliyopita jioni moja hivi alitambulishwa katika hoteli moja ya kifahali katikati…
Kumbukeni hata Mwalimu Nyerere alikuwa mpinzani
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inatambua uhalali wa vyama vingi vya siasa. Inasema, Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa, yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa. Kumekuwapo matukio ya Jeshi…
Dk. Mwinyi aleta mapinduzi katika uwekezaji
ZANZIBAR Na Rajab Mkasaba Tangu kuanza kazi kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ya Awamu ya Nane Novemba 2020 hadi Julai 2021, Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imefanikiwa kukusanya miradi 50 yenye jumla ya mitaji ya dola za Marekani…
Viongozi wa dini tujijengee mamlaka ya kimaadili
Mamlaka ya kimaadili ni ile hali ya mtu kuwa na tabia njema inayoifanya jamii kumheshimu, kumuamini na hata kuyapa thamani maneno na ushauri wake na kufanywa kuwa chanzo cha mwongozo au mfano wa mwenendo sahihi kwa wanajamii. Huyu ni mtu…
IGP amekwisha kuhukumu,iundwe tume huru
Askari Polisi watatu, mlinzi wa kampuni binafsi na mtu aliyetajwakwa jina la Hamza, wamefariki dunia katika tukio la kurushianarisasi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita.Kutokana na mauaji hayo yaliyotekelezwa na Hamza, Rais SamiaSuluhu Hassan, ameliagiza Jeshi la Polisi kufanya uchunguziwa…



