JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Benki ya TCB yatangaza faida ya bilioni 19.27/-

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo amesema kuwa Benki hiyo imeshuhudia ongezeko kubwa la mapato ya jumla ya Shilingi Bilioni 19.27 sawa na asilimia 11.19 hadi kufika  Bilioni 19. 21, kwa mwaka 2023. ikilinganishwa na mwaka 2022…

RC Kunenge aipongeza Mafia kuongeza vyanzo vya mapato na kupata hati safi

Na Mwamvua Mwinyi, JammhuriMedia, Mafia Mkuu wa mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Mafia kwa kufanikiwa kuongeza vyanzo vya mapato na kupata hati safi. Kunenge ameyasema hayo katika kikao cha kujadili hoja za CAG kilichofanyika wilayani…

CTI yasema bajeti itasisimua ukuaji wa viwanda

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKISHO la Wenye Viwanda nchini (CTI), limepongeza bajeti kuu ya serikali kwa kuweka mambo muhimu ambayo yatachochea ukuaji wa viwanda nchini. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa shirikisho hilo,…

Spika Tulia aagiza Mpina apelekwe Kamati ya Maadili

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kumhoji mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa madai ya utovu wa nidhamu. Akitangaza uamuzi…

Mtoto mlemavu wa ngozi auawa kikatili, akatwa ulimi na mikono

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Mwili wa mtoto Asimwe Novath (2) aliyetekwa kwa Zaidi ya wiki mbili umepatikana Juni 17, ukiwa umefungwa kwenye mfuko (sandarusi) huku ukiwa hauna baadhi ya viungo kama ulimi na mikono yote miwili. Tukio la kutekwa kwa…