Category: MCHANGANYIKO
Wauza ‘unga’ waanza kutajwa
Wakati Watanzania wengi wakiwa wameamua kuwaanika hadharani nguli wa biashara ya dawa za kulevya, Balozi wa Tanzania nchini China, Philip Marmo, naye amepasua ukweli wa mambo akisema hali inatisha.
Watu 10,262 wakacha ARVs
Watu 10,262 wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi mkoani Mwanza, hawajulikani waliko kwa zaidi ya miezi mitatu sasa baada ya kutohudhuria kliniki ya kutoa dawa hizo.
Tutelekeze wabunge, tuwawezeshe polisi
Wiki hii nimewaza na kuwazua. Kwa furaha nimepokea mrejesho kutoka kwenu wasomaji wangu. Hakika nimefurahi jinsi mlivyolikubali gazeti JAMHURI, na jinsi mawazo tunayoyatoa mnavyoyaunga mkono. Nasema asanteni sana na mkihisi tumekosea, msisite kutusahihisha.
KONA YA AFYA
Vidonda vya tumbo na hatari zake (7)
Kuchelewa sana kula: Kuna maelekezo mengi ya wataalamu juu ya muda mzuri wa kula. Kuchelewa sana kula huweza kuleta tatizo la kiafya ikiwa ni pamoja na vidonda vya tumbo kama mtu atakuwa tayari ana mwelekeo wa kupata vidonda. Vile vile kula wakati husikii njaa si jambo zuri kwa afya. Kula ukiwa huna njaa (au umeshiba) hudhoofisha utendaji kazi wa mifumo inayohusika na usagaji chakula.
Askofu Malasusa: Wanaotaka urais tuwajue
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Askofu Dk. Alex Malalusa, amesisitiza umuhimu wa kulinda na kudumisha amani nchini, huku akihimiza mamlaka husika kuharakisha ufumbuzi wa migogoro iliyopo.
JAMHURI YA WAUNGWANA
Mhalifu anapopewa wiki 2 za kuharibu!
Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jayaka Kikwete, ametangaza operesheni ya kuwaondoa wahamiaji haramu na majambazi katika mikoa ya Kagera na mingine nchini.
- Sabasaba yafungua fursa mpya za madini, wafanyabiashara wakiri utajiri mkubwa wa Tanzania
- Jeshi la Polisi lahimiza ushirikiano na makampuni ya ulinzi binafsi
- Waziri Nanauka awapongeza vijana wenye mahitaji maalumu wanaong’ara Sabasaba
- Polisi wakanusha taarifa za gari lao kuchomwa moto Mwenge
- TIRDO yabuni dawa ya asili ya kuchakata ngozi, yaokoa afya na mazingira
Habari mpya
- Sabasaba yafungua fursa mpya za madini, wafanyabiashara wakiri utajiri mkubwa wa Tanzania
- Jeshi la Polisi lahimiza ushirikiano na makampuni ya ulinzi binafsi
- Waziri Nanauka awapongeza vijana wenye mahitaji maalumu wanaong’ara Sabasaba
- Polisi wakanusha taarifa za gari lao kuchomwa moto Mwenge
- TIRDO yabuni dawa ya asili ya kuchakata ngozi, yaokoa afya na mazingira
- JKT yaibuka kinara Sabasaba, yatwaa tuzo ya bidhaa za kilimo na uvuvi
- Rais Chapo afungua Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba, jijini Dar es Salaam
- Rais wa Msumbiji, Daniel Francisco Chapo awasili Ikulu Jijini Dar es Salaam
- Wizara ya Nishati yawahamasisha watoto kuwa mabalozi wa nishati safi ya kupikia
- Salome : Wananchi wanaopitiwa na miundombinu ya umeme waunganishwe huduma kwa sh 27,000
- Mchecu: Masoko ya mitaji kufungua fursa za uchumi
- Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi Hospitali ya Butiama Kizurira Nyerere
- Tanzania ipo tayari kuelekea AFCON 2027
- JET highlights critical role of CSOs in combating desrtification ahead of UNCCD COP17
- Tanzanite yang’aa Sabasaba wananchi wavutiwa na upekee wake