Category: MCHANGANYIKO
Ombwe kamwe halikubaliki
Mwenyezi Mungu alipoumba dunia yetu alipanga kila kitu kujiendesha kwa namna ya ajabu. Viumbehai na visivyokuwa hai vyote vilipangiliwa kimaajabu kabisa kwa kadiri ya huo utaratibu wa Muumba wetu.
Athari za Serikali kupuuza vyombo vya habari
Sisi sote tunatarajia vyombo vya habari na mchango wake wa Taifa letu. Kwa jumla vyombo vya habari hufanya kazi tatu. Huelimisha, huchochea maendeleo na huburudisha. Lakini pia vyombo vya habari hupunguza tatizo la ajira. Hutoa ajira.
Ujangili Ruaha umepungua, haujakwisha
Alhamisi Oktoba 16, mwaka huu napigiwa simu na Ofisa Habari wa Umoja wa Mataifa (UN), Stella Vuzo, kuwa nimeteuliwa kwenda kuripoti kazi zinazofanywa na Umoja huo katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.
Uwezo wa kumpiga tunao, Sababu ya kumpiga tunayo
Sumaye awe mkweli, hajawahi kuichukia rushwa
Nianze kwa maneno mepesi. Anachokifanya sasa hivi Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, ni kutapatapa. Amegeuka kuwa mtu wa kulalama na kulalamika kila uchao utadhani ndiyo kwanza “anazaliwa”, na wala hajawahi kuwa mmoja wa vigogo wakubwa kabisa Tanzania.
Tusifanye majaribio katika urais 2015
Kadri muda unavyozidi kusonga mbele naona joto la kuwania urais linapanda. Joto hili linapanda kwa wanasiasa, wapambe wao na hata viongozi walioko madarakani wanaanza kuangaliangalia nani watamsaidia kushika dola kisha aendelee ‘kuwaenzi’.
- Teknolojia, fursa ya kuijengea TRAMEPRO kuendeleza tiba asili, kuimarisha utafiti na kulinda mazingira
- Dk Homera awasilisha utekelezaji bajeti ya nishati robo ya kwanza ya mwaka
- Mavunde : Afrika ni moja, tushirikiane kugeuza utajiri wa madini kuwa viwanda, ajira
- Bunge kupokea maoni ya wadau kuridhia mkataba usalama wa mtandao na ulinzi wa taarifa binafsi
- Jaji Mshibe : Tuzingatie taarifa za utabiri wa hali ya hewa ili kuwa salama
Habari mpya

- Serikali kujenga soko la ‘Wamachinga’ kupunguza msongamano Kariakoo – Prof. Shemdoe
- Nyerere alivyokipeleka Kiswahili duniani
- Taka zinatutesa, dawa zinatugharimu
- Mwigulu unatatua migogoro, tubadili sheria
- Mauaji yaamsha viongozi wa dini
- Leseni zetu ziko wapi?
- STAMICO imetufumbua macho Watanzania
- Kabila, waasi : Biashara, laana au tamaa?
- Bima yakua kwa asilimia 68
- Jeuri ya pesa