Category: Uchumi
Masauni atoa wito kutumia fursa zilizopo kwenye mazingira
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Unguja SERIKALI ya Awamu ya Sita pamoja na mambo mengine imeimarisha zaidi ushirikiano wa kimataifa na kutoa mchango mkubwa katika masuala ya kikanda na kimataifa yanayohusu mazingira na mabadiliko ya Tabianchi. Waziri wa Nchi Ofisi ya…
Makamu wa Rais ateta na mwenyekiti wa bodi wa AGRA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 07 Septemba 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Jumuiya ya Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika (AGRA) ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu wa…
Kamishina Mkuu wa UNHCR atua Dodoma
Kamishina Mkuu wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR), Bw. Filippo Grandi yupo nchini tokea tarehe 24 Agosti 2022 kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine, atafanya mazungumzo na viongozi wakuu wa Serikali na kutembelea Kambi…
Ndaki ataka agizo la Rais juu ya maeneo ya wafugaji kutekelezwa
Na Edward Kondela,JamhuriMedia,Morogoro Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki (Mb) amezitaka halmashauri na mamlaka za serikali za mikoa kuhakikisha zinatekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan la kutenga maeneo kwa ajili ya wafugaji…





