Category: Uchumi
Mteja na Sayansi ya kununua
Nianze kwa kuwasalimu wasomaji wa gazeti hili, pamoja na wapenzi wa safu hii. Kwa takribani wiki nne sikuwapo hewani kutokana na sababu kadhaa ikiwamo kutingwa na shughuli za kiujasiriamali.
Gesi yabadili utamaduni Mtwara
Wiki hii Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi (pichani), amefanya ziara ya siku tatu mkoani Mtwara kuangalia maendeleo ya ujenzi wa bomba la gesi. Nimepata fursa ya kuwamo kwenye ziara hii. Nimeshuhudia mengi.
Tuwajali Mgambo
Mhariri,
Hoja yangu ni kuhusu Jeshi la Mgambo. Kauli ni jeshi la akiba. Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi bila majibu, kaulimbiu ni jeshi la akiba, lakini si kweli, bali ni jeshi la kutelekezwa na kukamuliwa. Haliendani na kaulimbiu.
Mambo muhimu kuanzisha biashara -2
Katika toleo lililopita mwandishi wa makala haya alieleza jinsi mfanyabiashara anayeanza kufanya biashara anavyoweza kulipa kodi yake ya mwaka sasa anatoa mfano jinsi ya utaratibu wa ulipaji wa kodi hiyo endelea
Tupande miti kukuza uchumi wetu (4)
Tupande miti kukuza uchumi wetu (4)
Kuna umuhimu mkubwa sana kwa sekta binafsi kupitia kampuni mbalimbali au mtu mmoja mmoja, ikiwamo wananchi walio wengi vijijini kujiwekea mipango na malengo mazuri na kuweza kupanda miti kwa wingi. Kuna mahitaji makubwa ya mazao ya misitu — nguzo, mbao, kuni na mkaa. Endelea…
Napenda kuchukua fursa hii kuwafahamisha Watanzania walio vijijini na mijini kwamba misitu ya asili katika maeneo mbalimbali nchini imeharibiwa mno (highly degraded). Isitoshe, bado kasi ya uharibifu wa misitu ya asili ni kubwa kuliko unavyodhania maana matumizi ya mashine za moto (power or chain saws) yameongezeka sana.
KONA YA AFYA
Sababu za kupungua nguvu za kiume
Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume limekuwa kubwa sana hivi leo katika zama hizi za sayansi na teknolojia, ni tatizo linalowakabili wanaume wengi mno; wazee kwa vijana karibu kote duniani na hususan maeneo ya mijini zaidi.
- Kuelekea uzalishaji megawati 8,000 ifikapo 2030, Salome akaribisha wawekezaji
- Kikwete ahimiza Tanzania na Japan kuimarisha ushirikiano katika usalama wa chakula na uchumi wa buluu
- Viongozi mbalimbali wamfariji Dk Samia nyumbani kwake Kizimkazi Zanzibar
- Makamu wa Rais aagwa rasmi na Wizara ya Nishati
- Tanzania yakaribisha wawekezaji na taasisi za fedha za kimataifa kuwekeza sekta ya nishati
Habari mpya
- Kuelekea uzalishaji megawati 8,000 ifikapo 2030, Salome akaribisha wawekezaji
- Kikwete ahimiza Tanzania na Japan kuimarisha ushirikiano katika usalama wa chakula na uchumi wa buluu
- Viongozi mbalimbali wamfariji Dk Samia nyumbani kwake Kizimkazi Zanzibar
- Makamu wa Rais aagwa rasmi na Wizara ya Nishati
- Tanzania yakaribisha wawekezaji na taasisi za fedha za kimataifa kuwekeza sekta ya nishati
- Mwigulu amwakilisha Rais Dk Samia ufunguzi Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi
- Kuuza au kununua umeme kutaongeza mapato ya taifa na kuimarisha usalama wa nishati nchini
- OTR kuongeza kasi ya mageuzi ili kukuza tija ya uwekezaji
- Ulega: Pwani kituo cha vifaa vya dharura wakati wa mvua za El Nino
- Rashal yaharakisha ujenzi wa Bomba la Gesi Kisemvule – Mbagala
- VETA Dar kuanzisha mafunzo ya urejelezaji taka kuchochea ajira
- NMB yaweka milioni 165 kusukuma mauzo Kariakoo
- Meya Kibaha akabidhi mashine ya photocopy Mwambisi, kupunguza mzigo kwa wazazi
- Ridhiwani Kikwete ahani msiba wa mwenza wa Rais Samia
- Rais Dk Mwinyi akutana na Rais Ndayishimiye Ikulu Zanzibar