JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Lipumba na tuzo ya Mo  Ibrahim kwa Rais Samia

MOROGORO Na Everest Mnyele Tuzo ya Mo Ibrahim ilianzishwa mwaka 2007 na bilionea wa Sudan, Mohamed ‘Mo’ Ibrahim, kupitia taasisi yake kwa madhumuni ya kuwatuza viongozi wa Afrika, hasa marais na wakuu wa serikali walioonyesha uongozi uliotukuka katika nchi zao. …

Polisi wanatumia vibaya kosa la kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu

Na Bashir Yakub Yapo mambo ambayo kwa mujibu wa sheria si kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu. Hata hivyo polisi kwenye vituo vyao wamekuwa wakilazimisha mambo hayo kuwa kosa hilo la kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kwa sababu wanazozijua wao, mojawapo…

Ni kilimo cha ‘kufa’ tu au ‘kufa na kupona’?

Na Joe Beda Rupia Nimewahi kuhoji katika safu hii miezi kadhaa iliyopita iwapo kilimo bado ni uti wa mgongo wa taifa letu. Hakukuwa na majibu ya moja kwa moja. Kilimo. Kilimo. Kilimo. Kimekuwa kikiambatana na kaulimbiu mbalimbali, lakini kwa hakika…

Utaratibu kupima DNA huu hapa

NA BASHIR YAKUB Hauna haja ya kuvutana na mtu kuhusu iwapo wewe ni baba wa mtoto au hapana. Nimesema baba kwa sababu wasiwasi wa aina hii mara zote upo kwa wanaume. Kuwa fulani ni mama wa fulani karibia mara zote…

Utata Mloganzila

*Yatupiwa lawama ikipachikwa majina ya ‘njia panda ya kuzimu’, ‘ukienda hutoki’ *Mgonjwa alazwa siku sita, atibiwa mara mbili tu akitozwa Sh milioni 1.8  *JAMHURI lapiga kambi siku kadhaa kubaini ukweli, hali halisi ya mambo *Uongozi wazungumza, wasema lawama nyingi si…

Asante Mbowe kwa hotuba yenye matumaini, lakini…

DAR ES SALAAM Na Abbas Mwalimu Mimi ni mmoja wa Watanzania waliofuatilia hotuba ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ya Mei 11, 2022. Hakika ilikuwa hotuba iliyojaa hekima, busara na ukomavu wa kisiasa. Mbowe ameonyesha…