Latest Posts
‘Tanzania ni tajiri wa urithi wa utamaduni’
Makumbusho ya Taifa la Tanzania inatarajia kuwa na programu maalum ya kimakumbusho yenye vionjo vya Kiswahili kama sehemu ya zao jipya la kivutio cha utalii wa utamaduni. Akizungumzia Programu hiyo ya Kimakumbusho itakayofanyika Agosti 6,2022, Kijiji Cha Makumbusho Jijini Dar…
Ndalichako awataka vijana kuchangamkia fursa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kasulu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Prof.Joyce Ndalichako amewataka vijana kuchangamkia fursa zinazotolewa na Serikali kupitia Programu ya Taifa Taifa ya Kukuza Ujuzi ili kuweza kupata ujuzi na stadi za kazi stahiki…
Balile:Kuna matumaini mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ya habari
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Taasisi 10 zimeandikiwa wito wa kuhudhuria mjadala wa kupitisha sheria za habari zinazolalamikiwa kuhusiana na mabadiliko ya vifungu mbalimbali vya habari ambayo wadau wanavipigia kelele kwamba, vinaminya uhuru wa habari nchini. Hatua hiyo inatokana na uamuzi wa…
Mtoto ajiua baada ya baba yake kumfokea
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe JESHI la Polisi mkoani Njombe limewaomba viongozi wa makanisa na misikiti kutoa mafunzo mema ya dini kwa watoto ili kupunguza matukio ya vijana ama watoto kujichukulia sheria mkononi kwa kujiua. Akizungumza na waandishi wa habari…
Chongolo azitaka TAMISEMI,Wizara kumaliza haraka ujenzi wa stendi Moshi
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Daniel Chongolo ameziagiza Wizara ya Fedha na Wizara ya Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) kukutana kumaliza ujenzi wa stendi ya kisasa ya Ngangamfumini Manispaa ya Moshi. Chongolo ametoa agizo hilo jana…





