Latest Posts
Tusifanye majaribio katika urais 2015
Kadri muda unavyozidi kusonga mbele naona joto la kuwania urais linapanda. Joto hili linapanda kwa wanasiasa, wapambe wao na hata viongozi walioko madarakani wanaanza kuangaliangalia nani watamsaidia kushika dola kisha aendelee ‘kuwaenzi’.
Kikwete awakoroga wagombea urais
KAULI mbili zilizotolewa na Rais Jakaya Kikwete juu ya kushika wadhifa huo mkubwa nchini, zimewachanganya baadhi ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliotangaza na wale wanaotajwa kuwania kumrithi.
Putin anakuja Tanzania
LICHA ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, kusuasua kuthibitisha kuhusu ujio wa Rais wa Russia, Vladimir Putin taarifa za uhakika zinasema kwamba mwamba huyo wa kimataifa atatua nchini Februari, mwakani.
Nyalandu aichongea Ikulu kwa Marekani
*Aona Pinda hana msaada, awatafuta TAHOA
*Alalama wenzake serikalini wanamhujumu
Na Mwandishi Maalumu
Obama anataka niwe Rais Tanzania-Waziri
*Wabunge wakataa ‘hongo’ ya safari ughaibuni aliyowaahidi
*Ripoti aliyowasilisha yatupwa, wasema imejaa ubabaishaji
*Msanii aliyekuwa Marekani na Nyalandu, Aunty Ezekiel anena
Hivi kweli Kaburu ni kirusi Simba, soka la Tanzania?
KWENYE wallet (pochi ya kutunzia fedha) ya kada wa klabu ya Yanga, Sudi ‘Tall’ Hussein pamoja na kuchukua mambo mengine ndani yake kuna kipande cha gazeti la michezo la MWANAspoti.
Habari mpya
- Shekhe Jongo akemea chuki za udini
- Serikali yafanya kikao kazi cha kukabiliana na mvua za El Nino
- NMB: Ukaguzi wa ndani nguzo muhimu ya utawala bora na uimara wa taasisi
- Tanzania, Croatia zazungumzia kuimarisha ushirikiano
- Waziri Kapinga anadi fursa za uwekezaji Tanzania nchini Qatar
- Wawekezaji, wananchi Zegerani walilia barabara ya lami km 2 inayounganisha na viwanda Kibaha
- TMDA yapiga marufu matangazo ya dawa za kuacha pombe
- Serikali yaweka mikakati kuwawezesha wanawale na makundi maalum
- Tanzania yaendelea kuimarisha urafiki na Marekani
- Siku ya Utalii Duniani, Ngorongoro njoo uone maajabu ya dunia
- Wawekezaji wa ndani wataka maeneo ya kimkakati Pwani kutumika kukuza biashara
- ACT WAZALENDO Yaiomba Serikali kukaa na Wamachinga kupata suluhu naomna upangaji wa Jiji
- TBS Yazidi kufikisha elimu ya viwango na usalama wa bidhaa kwa wafanyabiashara
- Katibu NEC ataka wenye ulemavu kuchangamkia mikopo
- TBS, WMA na FCC wabaini kasoro bidhaa Njombe
Copyright 2025
Designed by
JamhuriMedia