Latest Posts
MAUAJI YA BARLOW
Malele aendelea kuteseka Muhimbili
Maendeleo ya matibabu ya Mohamed Malele aliyetangaza siri za mtandao unaodaiwa kuhusika kumuua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, ni kitendawili.
Tutelekeze wabunge, tuwawezeshe polisi
Wiki hii nimewaza na kuwazua. Kwa furaha nimepokea mrejesho kutoka kwenu wasomaji wangu. Hakika nimefurahi jinsi mlivyolikubali gazeti JAMHURI, na jinsi mawazo tunayoyatoa mnavyoyaunga mkono. Nasema asanteni sana na mkihisi tumekosea, msisite kutusahihisha.
Funga ya Ramadhani, hukumu, fadhila, adabu zake (Hitimisho)
Sheikh Dk. Ibrahim Ghulaam, katika sehemu ya tatu ya makala
haya alielezea kwa kina kuhusu yasiyofunguza na adabu za funga. Sasa fuatana naye katika sehemu hii ya mwisho…
Fadhila za funga
Zimepokewa hadithi nyingi zinazoelezea fadhila za funga ya Ramadhani, miongoni mwa hizo ni zifuatazo:
Kuna wamachinga wanaovuna mamilioni, walipe kodi stahiki
Hakuna binadamu anayependa kulipa kodi. Lakini Serikali haiwezi kujiendesha bila kodi, hivyo ni wajibu wa kila mtu mwenye sifa za kulipa kodi, kufanya hivyo.
Katiba Mpya iakisi uzalendo (Hitimisho)
Sehemu iliyopita, mwandishi alinukuu ibara ile ya kwanza ya
Mkataba wa Muungano na kusema mtu akiisoma atajua ilikuwa na viashiria vya undugu na umoja wetu wa asili kati ya watu wa nchi hizi mbili – Tanganyika na Zanzibar. Hii ni sehemu ya mwisho ya mfululizo wa makala ya Katiba Mpya iakisi uzalendo. Endelea
Maneno mazito namna hii na ya kizalendo kutoka kwa watu wa Zanzibar, leo mtu aje aseme mbona hatukushauriwa: Oh! mbona hatukuulizwa hivi. Wanaofyatuka kusema hivi walikuwa na umri gani Aprili 24, 1964? Pengine wala hawakuwa wameingia ulimwenguni. Leo waje na stori za watu wa Zanzibar eti waulizwe wanautaka Muungano au hawautaki ndipo Katiba yetu iandikwe ni sahihi kweli wazee wenzangu?
MISITU & MAZINGIRA
Misitu inavyokinufaisha Kijiji cha Nanjilinji ‘A’ (1)
Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi ni mojawapo za wilaya chache Tanzania Bara zilizobahatika kuwa na misitu ya asili ya kutosha ikilinganishwa na maeneo mengine nchini. Pamoja na kuwa na rsilimali misitu ya kutosha yenye aina za miti ya thamani sana mfano, mipingo (Dulbergia melanoxylon), Kilwa ni kati ya wilaya maskini nchini.
Habari mpya
- Majahili wavamia Msitu wa Korogwe
- CCM, CHADEMA mkiamua tunatoka
- Bangi yalimwa ndani ya nyumba
- Matumaini
- Soma Gazeti la Jamhuri la Novemba 24 -30, 2026
- Salome : Wananchi milioni 1.7 kunufaika na umeme kila mwaka kupitia ushirikiano wa TANESCO na CRDB
- EWURA yakutanisha wadau kujadili usalama na uendelezaji sekta ya gesi asilia
- Dk. Chaya atembelea uwekezaji kiwanda cha kuchakata maziwa cha ASAS Iringa
- Tanzania yajivunia kupunguza vifo vya mama na watoto, yalenga mafanikio zaidi ifikapo 2030
- Wananchi Mbeya wafurahia kurejea kwa huduma ya umeme
- PURA yaokoa bilioni 8.86/- kupitia usimamizi wa mafuta na gesi
- EWURA Kupitia upya bei za CNG
- Kafulila: Umwagiliaji unahitaji dola bilioni 20, Serikali pekee yake haiwezi
- Kafulila : Tanzania inahitaji kujiandaa na ongezeko la watu milioni 123 ifikapo 2044
- Waziri Homera atangaza kurejea kwa umeme Mbeya na Songwe