Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mshauri wa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mheshimiwa Ahmed Bin Abdulaziz Kattan, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mshauri wa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mheshimiwa Ahmed Bin Abdulaziz Kattan pamoja na ujumbe wake, Ikulu jijini Dar Es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mshauri wa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mheshimiwa Ahmed Bin Abdulaziz Kattan pamoja na ujumbe wake, Ikulu jijini Dar Es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mshauri wa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mheshimiwa Ahmed Bin Abdulaziz Kattan, Ikulu jijini Dar es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshauri wa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mheshimiwa Ahmed Bin Abdulaziz Kattan, Ikulu jijini Dar Es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshauri wa Mwanamfalme na Waziri Mkuu wa Saudi Arabia Mheshimiwa Ahmed Bin Abdulaziz Kattan na ujumbe wake, Ikulu jijini Dar Es Salaam, tarehe 4, Septemba 2023.

By Jamhuri