JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: mugabe

Mugabe Agoma Kwenda Bungeni Kuhojiwa

RAIS wa zamani wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe, amepuuza wito wa Bunge la nchi hiyo likimtaka afike mbele ya kamati yake inayochunguza mapato ya almasi. Mbunge anayeongoza kamati ya madini na nishati amesema Mugabe alikuwa amebakiwa na fursa moja tu…

‘Niliondolewa kijeshi’, Mugabe

Rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amesema tukio la kuondolewa kwake madarakani kwa kutumia nguvu za kijeshi, haina tofauti na mapinduzi ya kijeshi yanayoweza kutokea kokote kule duniani. Akizungumza na Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini (SABC) kwa mara…

Robert Mugabe Kupewa Stahiki Zake Kama Rais Mstaafu

Serikali ya Zimbabwe imeeleza kuwa itampa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo. Robert Mugabe nyumba ya kuishi, magari pamoja na ndege binafsi ya kusafiria ikiwa ni sehemu ya stahiki wanazopatiwa watumishi wa serikali waliostaafu. Pamoja na hayo, pia atapewa watumishi 20,…