JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: zimbabwe

Waziri wa Nishati Ahukumiwa Jela Miaka Minne kwa Rushwa

WAZIRI wa zamani wa Nishati wa Zimbabwe, Samuel Undenge, amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia katika makosa ya rushwa Waziri huyo aliyefanya kazi kipindi ya Rais Robert Mugabe amekuwa kiongozi wa kwanza kuhukumiwa tangu kiongozi…

Zimbabwe Yachunguza Shahada ya Uzamifu ya Grace Mugabe

Mamlaka ya kukabiliana na ufisadi nchini Zimbabwe imeanzisha uchunguzi kuhusu shahada ya udaktari iliopewa mkewe Robert Mugabe, Grace Mugabe kulingana na ripoti ya AFP. Phyllis Chikundura ,msemaji wa tume ya kukabiiana na ufisadi nchini humo alithibitisha kuwa kulikuwa na uchunguzi…

Robert Mugabe Kupewa Stahiki Zake Kama Rais Mstaafu

Serikali ya Zimbabwe imeeleza kuwa itampa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo. Robert Mugabe nyumba ya kuishi, magari pamoja na ndege binafsi ya kusafiria ikiwa ni sehemu ya stahiki wanazopatiwa watumishi wa serikali waliostaafu. Pamoja na hayo, pia atapewa watumishi 20,…