Category: Makala
Ngeleja; Kichwa kilichojificha nyuma ya tambo za Kikwete
“Natamani kuwa Rais wa mwisho wa Tanzania kuongoza nchi ambayo ni maskini…Nimeongoza nchi maskini, lakini nataka mrithi wangu kuongoza nchi yenye ustawi na utajiri” yalikuwa ni maneno ya Rais Jakaya Kikwete aliyoyatoa Agosti 5, 2014 alipozungumza kwenye Kituo cha Kimataifa cha Maendeleo mjini Washington, D.C., Marekani.
Kila mtu ni mjasiriamali
Watu wengi huwa wananiuliza swali hili mara kwa mara, “Je, kila mtu ni lazima awe mjasiriamali?”
Nimekuwa nikiwajibu na leo ninataka kulijibu kwa namna nyingine na kwa upana. Ili kulijibu swali hili ninaomba nitumie Biblia kupata baadhi za rejea.
Uchafu waharibu mandhari ya mji wa Songea
Wananchi Manispaa ya Songea wameelezea wasiwasi wao kuhusu kukumbwa na milipuko wa magonjwa mbalimbali, kutokana na kukidhiri kwa uchafu katika maeneo mbalimbali yakiwamo soko kuu la mji buo.
Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti, wamesema miundombinu ya maji taka Soko Kuu la Songea ni mibovu. Mitaro ya mji huo imefurika na kutiririsha maji hovyo yanayosambaa kwenye maeneo ya wauza nyanya, vitunguu, samaki na dagaa.
Hivi kati ya Spika Sitta na Kubenea nani ‘Court Jester’?
Akiwa ameketi kwenye kiti chake cha enzi Jumanne iliyopita, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba (BMK), Samuel John Sitta, alimshambulia Mkurugenzi Mtendaji wa HaliHalisi Publishers, Saed Kubenea, kwa kitendo chake cha kufungua shauri mahakamani kupinga Bunge hilo.
Malengo ya Kazi (1)
Hotuba ya Rais Mwalimu Julius Nyerere kwenye Sherehe ya Kufungua Kiwanda cha Nguo Ubungo Dar es Salaam Julai 6, 1968
Tumekubali kuwa punda wa Wakenya
Habari mpya
- Soma Gazeti la Jamhuri Septemba 16 – 22, 2025
- Kufufuliwa kwa reli ya TAZARA, ujenzi wa reli kusini utaleta mageuzi makubwa kiuchumi
- Trump asema yuko tayari kuiwekea vikwazo Urusi
- WHO: Chanjo ya Ebola imeanza kutolewa kusini mwa Kongo
- Luhaga Mpina aondolewa katika orodha ya wagombea urais 2025
- Mpina ajibu mapingamizi yake, amwekea pingamizi mgombea wa CCM Dk Samia
- Mgombea urais kwa tiketi ya CCM Dk Samia atua Zanzibar,
- Mgombea udiwani Kata Tandika kwa tiketi ya CCM ahaandi kushughulikia kero ya michango shuleni
- Bilioni 51/- za mradi wa TACTIC kuongeza thamani ya Jiji la Mbeya
- Wajasiriamali waliomba dawati maalum la uwezeshaji TRA kuwa mwarobaini wa kero zao
- Kingu awaombea kura za wagombea wa CCM Jimbo la Songea Mjini
- ‘Dk Ndumbaro anapaswa kupewa mitano tena ili amalizie miradi aliyoianzisha’
- Samia ahitimisha kampeni kwa kishindo Kigoma
- Ilani ya Uchaguzi ya CCM imelitazama kipekee kundi la vijana kwa kulijengea mazingira mazuri – Wasira
- Tume ya Taifa ya Umwagiliaji yasisitiza uhifadhi wa mto Mara
Copyright 2024