Author: Jamhuri
Brrick Bulyanhulu yaungana na Serikali kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili
Mgodi wa Barrick Bulyanhulu uliopo mkoani Shinyanga umeungana na Serikali na wadau wengine kuadhimisha siku 16 za kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia ambapo umeandaa kampeni ya kutoa elimu dhidi ya vitendo hivyo katika shule za msingi na sekondari zilizopo…
Suarez agoma kuiomba msamaha Ghana
Mchezaji wa Uruguay, Luis Suarez (31), amesema kamwe hawezi kuomba msamaha kwa kushika kwa mkono mpira uliokuwa unaingia golini kwao katika mechi yao ya Kombe la Dunia dhidi ya Ghana mwaka 2010 nchini Afrika Kusini. Watu wengi wamekuwa wakimtaka Suarez…
Waziri Mabula asikitishwa na watendaji sekta ya ardhi Iringa
Na Munir Shemweta,JamhuriMediaIringa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesikitishwa na watendaji wa sekta ya ardhi katika halmashauri za Manispaa na Wilaya ya Iringa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo na kusababisha halamshauri hizo kushindwa kukusanya…
Haya hapa matokeo darasa la saba 2022
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo Desemba 1, 2022 limetangaza matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2022 ambapo limetangaza kufuta matokeo yote ya Watahiniwa 2194 sawa na asilimia 0.16 ya Watahiniwa 1,350,881 waliofanya mtihani ambao wamebainika kufanya udanganyifu…
Matokeo ya darasa la saba yatangazwa, vituo 24 vyafungiwa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limetangaza matokeo ya darasa la saba ya mwaka huu ambapo watahiniwa milioni 1.07 wamefaulu kwa kupata madaraja A na B na C. Akitangaza matokeo hayo leo Desemba 1, 2022 Kaimu Katibu Mtendaji…





