JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Africa Agri Expo Marks 10th Anniversary, Expands Focus on Innovation in Agriculture, Food and Livestock

The 10th edition of the Africa Agri Expo is scheduled to take place on September 2–3, 2026, in Dar es Salaam, Tanzania, bringing together farmers, agribusiness leaders, investors, policymakers and innovators from across Africa and beyond. The event will be…

Samia: Hatufungamani

Na Deodatus Balile, Moscow, Urusi Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Urusi imefungua milango mipya ya uwekezaji, biashara, elimu na teknolojia huku ikiimarisha sera ya Tanzania ya kutofungamana na upande wowote, JAMHURI limebaini. Akizungumza na waandishi wa habari jijini…

Why Tanga makes more strategic sense than Mombasa for East Africa’s planned mega oil refinery

By Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam The sudden narrative suggesting that Nigerian billionaire Aliko Dangote has shifted interest from Tanzania’s Tanga to Kenya’s Mombasa deserves careful scrutiny. A closer look at infrastructure realities, regional logistics, electricity capacity, land availability,…

Serikali yadhamiria kuibadili sura ya Sinza

Na Pendo Nguka, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2012 sinza ilikuwa na wakazi 40,546 lakini idadi hiyo ilipungua hadi kufikia 31,396 mwaka 2022. Licha ya kupungua kwa idadi ya wakazi bado…

CCM na changamoto ya vyama vingi

Chama cha Mapinduzi (CCM) kiliasisiwa mwaka 1977 ikiwa ni munganiko wa falsafa na misingi ya ASP na TANU. Msingi mkuu wa CCM ni ujamaa nakujitegemea nakama ulivyo wekewa msisitizo katika AZIMIO LA ARUSHA 1967. Na utu,udugu na usawa Dhumuni na…

Watu 85 wakamatwa kwa uzushi wa kuibiwa nyeti, watatu waenda jela miezi sita

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linatoa wito kwa baadhi ya watu wanaozua taharuki na kutoa taarifa za uzushi zinazosababisha vitendo vya uvunjifu wa amani kuhusiana na kuibiwa kwa nyeti zao mara baada ya kushikwa…