Category: Habari Mpya
Mnyukano Jiji, TARURA
DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeingia kwenye mvutano mkali wa kimasilahi na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dar es Salaam kuhusu ukusanyaji wa tozo za maegesho batili (wrong…
Chama ni Okwi mwingine katika soka letu
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mwanasoka maaarufu nchini raia wa Zambia, Cletous Chama, ameondoka nchini miezi mitatu tu iliyopita lakini taarifa zake za kurejea nchini zinavuma kwa wingi kuliko hata kile anachokifanya akiwa uwanjani huko aliko sasa. Hali hii…
Benki yazidisha uonevu kwa wafanyakazi
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Baada ya gazeti hili la uchunguzi kuchapisha taarifa za benki moja nchini zinazoeleza kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo ana dharau, ananyanyasa na kufukuza wafanyakazi hovyo bila kuheshimu sheria za kazi wiki mbili…
Iwe shuruti kuufanya ukimwi kuwa historia
Kesho ni Desemba Mosi, siku ambayo imetengwa na kufahamika kimataifa kama ‘Siku ya Ukimwi Duniani’ ambapo kwa Tanzania maadhimisho hayo huratibiwa na Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS). TACAIDS ilianzishwa Desemba 1, 2000 na Rais wa Tatu wa Tanzania, Benjamin Mkapa,…
MIAKA 60 YA UHURU Tubadili fikra, tusichukie biashara
Na Deodatus Balile, Nzega Wiki iliyopita nilipata fursa ya kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan wakati anafunga kongamano la wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda lililofanyika Dar es Salaam. Rais Samia ameeleza umuhimu wa serikali kufanya kazi na wafanyabiashara kwa kushirikiana. Rais…
Tumekubali kusarenda kwa watia mimba
Kumekuwapo mjadala mpana unaohusu nafasi ya wanafunzi wajawazito kurejeshwa kwenye mfumo rasmi wa elimu. Jambo hili limezungumzwa kwa miaka mingi bila suluhu. Si jambo jepesi katika mfumo wa maisha ya Kitanzania, hasa tukizingatia kuwa wapo wahafidhina wasiopendelea mageuzi kwenye mambo…




