JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Halotel kutumia bilioni 3.8/- usajili wa laini

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Kampuni ya simu za mkononi ya Halotel imesema changamoto kubwa kwake kibiashara mwaka huu imekuwa zoezi la kusajili laini kwa njia ya alama za vidole ambalo mpaka sasa hivi limeigharimu kampuni hiyo zaidi ya…

Biashara nje ya nchi yaanza kuirmarika

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Biashara kati ya Tanzania na nchi nyingine duniani imeanza kuimarika baada ya miaka mitatu ya mdororo kutokana na kupungua kwa kiasi kikubwa kwa uagizaji wa bidhaa na huduma mbalimbali kutoka nje, JAMHURI limebaini. Kuimarika…

Bilionea Friedkin atandikwa bil. 80/

ARUSHA NA MWANDISHI WETU Kampuni za bilionea raia wa Marekani, Dan Friedkin, zinazotikiswa na ukwepaji kodi, rushwa na uhujumu uchumi, zimekiri kuwa zinachunguzwa. Hayo yakiendelea, imebainika kuwa kwa miaka 30 kampuni hizo hazijawahi kutangaza kupata faida; jambo linalotia shaka na…

Polisi Stakishari katika mgogoro wa baa

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU   Mgogoro wa kibiashara baina ya wajasiriamali wawili, Jesca Kikumbi na Tausi John wote wa jijini Dar es Salaam umewaingiza baadhi ya askari kutoka Kituo cha Polisi cha Ukonga Stakishari kwenye kashfa ya kuihujumu…

Shonza: Tumieni ujuzi wenu kutengeneza ajira

DAR ES SALAAM NA REGINA GOYAYI (DSJ) Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza, amewataka wahitimu wa kozi za uandishi wa habari nchini kuutumia ujuzi walioupata kwa weledi ili waweze kudumu katika ajira. Akizungumza katika Mahafali ya…

Mwenyekiti kizimbani kwa rushwa

Na Aziza Nangwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga, Juma Abed, ametinga mahakamani akikabiliwa na mashitaka mawili ya kushawishi na kupokea rushwa. Mwendesha Mashitaka wa TAKUKURU, Euphrazia Kakiko, amesema wakati akisoma mashitaka dhidi ya mwenyekiti huyo kuwa mtuhumiwa Januari…