Category: Kitaifa
BAADA YA KUANIKA MADUDU…
Ofisi ya CAG sasa yasambaratishwa
*Naibu CAG aondolewa, Utouh atakiwa ajiandae kung’atuka
Hasira za watendaji kadhaa wa Serikali Kuu, Serikali za Mitaa, Mashirika ya Umma na taasisi mbalimbali dhidi ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, zimeanza kuzaa matunda baada ya kuwapo mpango wa kuwang’oa viongozi wake wakuu.
Mvutano uchinjaji Mbeya
Hivi karibuni kumezuka vurugu baina ya Wakristo na Waislamu katika mji wa Tunduma mkoani Mbeya, wakigombea uchinjaji mifugo ingawa siku zote Waislamu ndiyo wamekuwa wakitekeleza jukumu hilo.
India yakubaliwa kuchimba dhahabu, almasi Tanzania
Serikali ya Tanzania imekubali ombi la Serikali ya India, la kutaka kuwekeza katika sekta ya nishati na madini nchini.
Udokozi bandarini ukomeshwe
Bandari ya Dar es Salaam ni mashuhuri katika nchi za Afrika Mashariki na Kati. Bandari hii, kwa muda mrefu, imekuwa kitovu cha biashara kati ya Tanzania na nchi za Afrika Mashariki na Kati zisizokuwa na bandari (land locked).
Kwimba walilia maji safi
Mbunge wa Kwimba, Shanif Hirani Mansoor (CCM), amesema ameshaanza kushughulikia ujenzi wa mabwawa ya maji katika kata kadhaa jimboni humo.
Mchele wakosa soko Same
Wakulima wa mpunga wilayani Same mkoani Kilimanjaro, wameeleza kushangazwa na uamuzi wa Serikali kuruhusu uagizaji wa mchele kutoka nje ya nchi, wakati wao wamekosa wanunuzi wa tani 15,000 za bidhaa hiyo hapa nchini.
- Mama mzazi wa Hayati Magufuli afariki, Rais Samia atuma salamu za rambirambi
- Waziri Mkuu kumwakilisha Rais Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa AfDB
- Mabadiliko yasababisha Marekani, Uingereza kufunga ofisi ndogo za Ubalozi Zanzibar
- Soma Gazeti la Jamhuri Mei 26 -Juni 1, 2026
- Polisi Dar wawakamata raia wanne wa China kwa tuhuma za utekaji, wataka dola milioni 20
Habari mpya
- Mama mzazi wa Hayati Magufuli afariki, Rais Samia atuma salamu za rambirambi
- Waziri Mkuu kumwakilisha Rais Mkutano wa 61 wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa AfDB
- Mabadiliko yasababisha Marekani, Uingereza kufunga ofisi ndogo za Ubalozi Zanzibar
- Soma Gazeti la Jamhuri Mei 26 -Juni 1, 2026
- Polisi Dar wawakamata raia wanne wa China kwa tuhuma za utekaji, wataka dola milioni 20
- TMA yatabiri msimu wa kipupwe wenye baridi, baadhi ya mikoa kupata mvua za nje ya msimu
- TPDC yahimiza wananchi kulinda miundombinu ya bomba la gesi asilia
- Tanzania kuandaa mpango wa hatua za mapema za kujiandaa kukabiliana na ukame -Dk Yonazi
- Picha ya mfungwa aliyevaa hereni yazua mjadala ,Serikali yaonya matumizi mabaya ya mitandao
- Kunenge ateta na watendaji kata 134 Pwani, asisitiza kuongeza mapato
- Wizara ya Mambo ya Ndani yaomba bajeti ya Trilioni 2.443 Kwa mwaka 2026/2027
- REA yaandika historia Ludewa
- Uwekezaji wa NSSF Mkulazi wachochea ajira, wapunguza Nakisi ya Sukari
- Madini yabadilisha maisha Ruangwa, wachimbaji watoka ‘buku buku’ hadi miradi ya maendeleo
- Sabasaba yaja na ‘Usiku wa Dhahabu’ kuibua historia ya miaka 50 ya mageuzi ya biashara
Copyright 2025