JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Zungu asisitiza ulipaji kodi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mbunge wa Ilala na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amewataka Watanzania kuendelea kulipa kwani ni muhimu kwa maendeleo ya Nchi. Amesema lengo kuu la serikali…

12 wafanyiwa upasuaji rekebishi wa macho Mloganzila

· Global Medicare yasema ni matunda uwekezaji wa Rais Samia Na Mwandishi Wetu, JamhuriaMedia, Dar ea Salaam WATU 12 wamefanyiwa upasuaji rekebishi wa macho kwenye kambi ya macho iliyoendeshwa na Hospitali Muhimbili Mloganzila kwa kushirikiana na taasisi ya utalii tiba…

Wandishi wa habari watakiwa kuvaa mavazi maalum kwenye mazingira hatarishi

Na Helena Magabe, JamhuriMedia, Musoma Waandishi wa Habari Mkoani Mara wametakiwa kuvaa mavazi maalum au beji wanapokuwa wakitekeleza majukumu yao kwenye mazingira hatarishi. Hayo yamesemwa katika mdahalo wa nne kati wa Jeshi la Polisi, waandishi wa Hlhabari, viongozi wa Dldini,…

Prof: Mkumbo aziagiza bodi za taasisi za Serikali kuleta matokeo chanya

Na: Hughes Dugilo, JamhuriMedia, Kibaha WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Raisi, Mipango na Uwekezaji, Professa Kitila Mkumbo, ameagiza Bodi zinazowakilisha Serikali kwenye mashirika zenye hisa chache kusimamia kwa ukamilifu mashirika hayo kwa maslahi mapana ya taifa. Prof. Mkumbo ametoa maelekezo…

Siku 1095, Rais Samia madarakani na maajabu sekta ya elimu

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Wanafalsafa wengi wamesema kuhusu elimu; Wapo waliosema elimu ni funguo wa maisha, wengine wakaongeza elimu ni Maarifa, wengine pia wakanena elimu ni Bahari. Mjadala wa elimu ni bahari ni mpana sana ukimaanisha utajiri mkubwa unaopatikana…