Latest Posts
Pinda hafai kuwa Rais
Ni matumaini yangu kuwa Watanzania wenzangu hamjambo hasa wale Watanganyika walalahoi kama mimi, sizungumzii wale wanaoishi kama wapo paradiso.
Nimesoma magazeti kadhaa, karibu wiki nzima yanazungumzia habari ya ‘mtoto wa mkulima’ Mizengo Pinda eti anataka urais na wengine kuanza kumpigia debe kwamba anafaa eti kwa vile ni muadilifu, pia hana tuhuma za ufisadi.
Mheshimiwa Sitta acha kututania!
TMF yatoa ruzuku kwa vyombo vya habari 16
Mfuko wa vyombo vya habari nchini (TMF), kwa mara nyingine, umetoa ruzuku ya Sh. bilion 1.7 kwa vyombo vya habari 16.
Posho EAC kufuru
*Kila kikao mbunge analipwa Sh laki 9
Posho ya Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) ni Sh. 940,000 kwa siku. Malipo hayo ni kwa kila mbunge hata kama hakudhuria vikao vya Bunge.
Kutokana na utoro wa wabunge ambao umefikia kiwango cha kukwamisha vikao, juhudi za chini kwa chini zimeanza kufanywa na baadhi ya wabunge ili kubadili kanuni.
Mmoja wa wabunge hao ameiambia JAMHURI kuwa juhudi hizo ni pamoja na kuhakikisha kuwa mbunge ambaye hahudhurii kikao, anakosa posho.
ISIL yazidi kuitesa Marekani, Waarabu nao waingilia kati
WAPIGANAJI wa kundi la Taifa la Kiislamu la Iraq na Levant (ISIL), wanazidi kuwatesa Wamarekani, kiasi kwamba hata Shirika la Kijasusi la Marekani (CIA), limekiri kwamba mapambano dhidi ya waislamu hao ni magumu.
Paroko RC aishiwa uvumilivu, awacharaza viboko Wasabato
PAROKO wa Parokia ya Urumi, iliyoko Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Padri Peter Twamba, amewajia juu waamini wa Kanisa la Waadivetisti Wasabato, waliotuhumiwa kukashifu imani ya Kanisa Katoliki (RC).
Tukio hilo lilitokea kanisani hapo, Jumapili ya 23 ya mwaka ‘A’ (kijani) ya Septemba 7, mwaka huu saa 3 asubuhi mara baada ya misa ya asubuhi kanisani hapo.
- Serikali Yaimarisha Ulinzi na Ustawi wa Watu wenye Ualbino
- Pwani ni ‘nchi’ yenye rasilimali tatu ambazo hazipo mkoa wowote Tanzania
- Rais Mwinyi akagua maendeleo ya ujenzi wa miundombinu ya mji wa michezo Zanzibar
- Makamu wa Rais aagiza milango ifunguliwe kwa vijana 10,000
- Tanzania yafungua milango kwa uwekezaji wa madini ya kimkakati, yalenga kujenga viwanda badals ya kuuza malighafi
Habari mpya
- Serikali Yaimarisha Ulinzi na Ustawi wa Watu wenye Ualbino
- Pwani ni ‘nchi’ yenye rasilimali tatu ambazo hazipo mkoa wowote Tanzania
- Rais Mwinyi akagua maendeleo ya ujenzi wa miundombinu ya mji wa michezo Zanzibar
- Makamu wa Rais aagiza milango ifunguliwe kwa vijana 10,000
- Tanzania yafungua milango kwa uwekezaji wa madini ya kimkakati, yalenga kujenga viwanda badals ya kuuza malighafi
- Hatma ya Dira 2050 iko mabegani mwa vijana wenye ujuzi
- Injinia Samamba atoa maelekezo kwa wamiliki wa migodi, maafisa kujiandaa na mvua za El nino
- Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano wa Afrika na GCC Plus kuhusu ajira
- Makamu wa Rais awasili Arusha kumwakilisha Rais Samia kikao cha wakuu wa Taasisi
- BAKWATA Tabora wapongezwa kuanzisha miradi ya kitega uchumi
- Shekhe Jongo akemea chuki za udini
- Serikali yafanya kikao kazi cha kukabiliana na mvua za El Nino
- NMB: Ukaguzi wa ndani nguzo muhimu ya utawala bora na uimara wa taasisi
- Tanzania, Croatia zazungumzia kuimarisha ushirikiano
- Waziri Kapinga anadi fursa za uwekezaji Tanzania nchini Qatar