JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Yah: Kodi ya simu Yes, ya madini No

 

Kila kukicha siku hizi ni mpango madhubuti wa kodi mpya. Sasa nasikia inataka kuibuka kodi ya simu, yaani tuwe tunalipia kila mwezi Sh 1,000. Kwa kweli tutakoma, maana hiyo sayansi ya mawasiliano mlivyoileta kwa kasi ilitufanya tujisahau mambo mengi. Kumbe ulikuwa ni mtego wa kutuingiza katika tatizo hili.

Vidonda vya tumbo na hatari zake (5)

Wiki iliyopita, Dk. Khamis Zephania katika mada hii ya vidonda vya tumbo na hatari zake, alizungumzia kazi na ulinzi wa kunyanzi za tumbo na utumbo mdogo, utemaji wa asidi ndani ya tumbo na sababu za vidonda vya tumbo. Sasa endelea na sehemu hii ya tano…

Wasira: Nivigumu kuifuta Chadema

*Akiri kuwa kazi hiyo si nyepesi

Kukifuta Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) si rahisi; amethibitisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wasira.

Wanaume watelekeza watoto walemavu Arumeru

*Wanawake wasukumiwa mzigo

Tatizo la wanaume kuwatelekeza watoto wao wenye ulemavu, limetajwa kukithiri katika Kijiji cha Ambureni, Wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha.

Taifa Stars yawanyong’onyesha mashabiki

Mashabiki na wapenzi wa soka nchini wameiponda timu ya Taifa (Taifa Stars) kutokana na kichapo ilichopata kutoka timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes).

Serikali yapongeza Tabora Marathon

Serikali mkoani Tabora imepongeza mashindano ya Tabora Marathon kufanikiwa kwa kiasi kikubwa, na kuwa itakuwa bega kwa bega katika mashindano yajayo ya mwaka 2014.