Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu  Jenerali Mrisho S. Sarakikya  wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Mkoaranga Wilaya ya Arumeru Arusha tarehe 20 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu  Jenerali Mrisho S. Sarakikya  wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Mkoaranga Wilaya ya Arumeru Arusha tarehe 20 Agosti, 2023

 lRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu  Jenerali Mrisho S. Sarakikya  na Familia yake wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Mkoaranga Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha tarehe 20 Agosti, 2023l

By Jamhuri